Ulongupanjala
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 8,523
- 14,002
Wadau habari zenu?
Kuna jengo linapangishwa ni floor nzima ya tatu,maeneo ya Philips Arusha.
Kama unahitaji,tafadhali PM kwa ajili ya kuona na kupata bei.
NB: Inapangishwa floor nzima na sio partition/sehemu ni nzuri kwa ofisi,bar nk.
Asanteni.
pale philips ukifungua bar, bia utazinywa mwenyewe! Pako scattered sana.
Bar floor ya 3?mlevi gani atapanda huko?
Pale Philips ukifungua bar, bia utazinywa mwenyewe! Pako scattered sana.
Pole yako,wewe unajua mlevi mpaka ashindwe kutembea? Hujatembea,nenda level eight iliyokuwa Kilimanjaro Kempinski.
Upstairs bar zipo nyingi sana bongo hata nje ya bongo.
Ficha ushamba wako.
Kilimanjaro kempinski unalinganisha na uswaz philips?kama ukinisha Philips sio uswazi wewe ndio utakua mshamba.
Hizo sehemu unazozitaja ni exclusive for the elite halafu unaweka bar ghorofan Philips uswazi.
Pale Philips ukifungua bar, bia utazinywa mwenyewe! Pako scattered sana.
kaka mbona sky launge panauza sana lkn