Yummy,kwa viwango tulivyojiwekea leo ujue ume cheat hapo,shauri lako.
Lizzy,nipe siri ya mafanikio yako,maana..............kuna mtu anataka kujirusha toka ghorofa ya kumi mafuta house.
Sasa basi tukiendelea na hii sredi,m hivi NN na Husninyo huwa wakifanyaje....? LOL, I guess NN atakuwa anammiss sana Husn, isije ikawa flirting imesababisha ajitoe humu JF? Tunaweza kuanzia hapo
Ndiyo maana nikasema kwa mtaji wa kama alivyoelezea RR basi wengi wetu humu tuna-cheat.
Kuhusu Mwajuma, naona kaamua tu kupumzika na nina hisia atarudi tu, kama hajarudi tayari. Manake huwezi jua humu...usikute Erotica ndiyo yeye...au usikute Erotica ndiyo RussianRoulette...(huu ni mfano tu)
Hivi kwa mfano ukimwita mkeo honey au sweethert lakini kwa utani (kwamba humaanishi kwa kumwita hivyo) maana yake nini? Naona kama inakuwa weird hivi! Lakini kwa mfano nikikwambia hapa jamvini kuwa "Jamani Lizzy nimekudondokea mbaya" nitakuwa naflirt na kwangu mimi hii inamake sense kuliko nikimwambia mke wangu maneno hayohayo maana itakuwa sio kuflirt tena bali namwambia ukweli tu.
Na kwa kweli kama kungekuwa na raha kuflirt na wapenzi wetu zaidi kuliko watu baki...I can bet my last coin, hili jukwaa la MMU lingepoteza mvuto kwa asilimia 50 au zaidi!
NN sijasema kua kila ane flirt maana yake kacheat. Ikiwa wewe na mpenzi wako mmekubaliana hakuna flirting, then anakuta you have been flirting with JF members, then yes you are cheating. But if she has just a mild irritation when she sees you flirting and you have been doing that to tease her mood basi sidhani kama ni cheating.
Halafu huo mfano wako... please...:mmph:
Mkimaliza huu mjadala mniambie nami nianze kuflirt na wajukuu zangu.....
Lizzy, kwani 'shamba' hakuna quotations? na hapa ni kimjini mjini ama vipi lol....hebu spare that Ansah Miles banaQuotation zenyewe za kishamba hivyo?
Nashindwa pa kuanzia kwa kweli…. Nyani Ngabu sio mara yako ya kwanza kuuliza hii kitu…
RussianRoulette sorry for the delay kwa kweli yameumana, Napost hii kitu then will be back later kama naweza.
I wish Sweetie Kaizer angekuwepo hapa anisaidie pia…..lol
The game of flirtin sio ya kuiga…. Ina watu wake wanaojua the rules of the game. The positive and negative side of it. Naamini everybody is a flirt in some point thou intensity imepishana. Ningependa nisema mengi sana…. Na I have loads on the Subject. One thing I can say ni kua AshaDii na Kaizer flirt Yes, we are adults we know what we are doing. Ila kuna msemo wa Kiswahili wanasema iga ufe! Wanaume hua wanachukulia advantage ya flirting vibaya mno na kwa kweli a mdada yoyote inabidi awe makini katika hilo else anaweza umia physically or hata emotionally. But I have been lucky….. Of a very few true gentlemen I have known in my life…. Kaizer is one of them.
are we cheatting? only him and I know that, sidhani kama kuna haja ya kujibu hapa for kila mtu anajua ni suala la makubaliano kati ya wahusika na twajua fika whatever the answer lazima itakua rejected depending on one's observertion.
Quotation zenyewe za kishamba hivyo?
Lizzy, kwani 'shamba' hakuna quotations? na hapa ni kimjini mjini ama vipi lol....hebu spare that Ansah Miles bana