Flaviana matata

Asante fundi..na apo anaonyesha jicho la horus
 
OK....hawaendani?...mbona walikuwa poa sana sema nasikia jamaa kicheche kinomazz
Jamaa alizidi u handsome aisee akikaa na mkewe you can see the difference, labda ukicheche umeua hyo ndoa.
 
Huyu Mzee nilibahatika kukutana nae ,akanipa hiki kitabu na Kupiga nae picha kadhaa

Ukisoma kile kitabu, mtazamo wako unabadilika sana juu ya hawa jamaa.

Of course kuna makundi kibao yanajificha ndani ya Freemasons, na ndo haya yanayochafua picha nzima.
 
Ukisoma kile kitabu, mtazamo wako unabadilika sana juu ya hawa jamaa.

Of course kuna makundi kibao yanajificha ndani ya Freemasons, na ndo haya yanayochafua picha nzima.
Nimekisoma kile kitabu ,nimeongea na Mzee Chande ,na kupiga nae picha,na pia nafurahia kupiga picha hata ndani ya ile Masonic lodge pale mjini ,kuna niliyojifunza
 
Naam...
[emoji122][emoji122][emoji122]
 
Mkuu, kama wanavyojiita secret society, sasa kusema unataka concrete evidence ' sio swala rahisi .
 
She gotta get paid!! "Sisters of work" dey col dem,
And as long as you have made the pact with the "general commander", (prince of the world) you will get everything assured....bigdeals...a lo the of international contracts...interviews from mainstream medias... An a lot of them homie
 
Best Hapo kwenye unwillingly cotract signature umebugi. Ktk ulimwengu wa roho hakuna kitu km icho Kama hukuwa willing unaweza kuikana hiyo contract. Anachofanya Lucifer Ni kukutega ktk material na emotions things then ukaingia tamaa and you are willingly and knowingly you sell ua soul.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…