Flaviana matata

Watu wana misinterpret hizi kitu zinazoitwa societies, chukulia mfano wa Vicoba, it is a society too.

Ukidig sana utakuta kuna so much allegations ambazo siyo sahihi.
Kuna society kweli ni nzuri ila kuna nyingine hazifai ndo zinaongoza dunia hii kwenye kila sector hasa entertainment industry maana ni rahisi kupata wafuasi wengi.
 
Kuna society kweli ni nzuri ila kuna nyingine hazifai ndo zinaongoza dunia hii kwenye kila sector hasa entertainment industry maana ni rahisi kupata wafuasi wengi.

Kama ni msomaji mzuri pata muda wa kusoma A Knight From Bukene, ni kitabu cha marehemu Chande, kitakupa basics za Masons.

Baada ya hapo unaweza kusoma vitabu zaidi, kuna conspiracy theories kibao kuhusu hizi societies.
 
Ila kwa Jay Z hana cha kutania na hizo alama....jamaa anawapenda Illuminati balaa!

Kuna siku anapokea tuzo akasema kabisa anawashukuru universe na labda kidooogo mungu mmmh...nikasema kweli jamaa kalowea!
 
Kama ni msomaji mzuri pata muda wa kusoma A Knight From Bukene, ni kitabu cha marehemu Chande, kitakupa basics za Masons.

Baada ya hapo unaweza kusoma vitabu zaidi, kuna conspiracy theories kibao kuhusu hizi societies.
Nilisoma information ya hizi secret societies had nikachoka mwenyewe aisee, nikasema niyaache kama yalivo maana dunia hii sisi normal people hatujui ya deep hata tuyasomayo hayana ukweli wame release vtu visivyo vya ukweli. One day kuna mtu alinipa Facts had jinsi mechi kubwa zinavokuwaga eeeh nikafatilia ikawa true
 
Kama ni msomaji mzuri pata muda wa kusoma A Knight From Bukene, ni kitabu cha marehemu Chande, kitakupa basics za Masons.

Baada ya hapo unaweza kusoma vitabu zaidi, kuna conspiracy theories kibao kuhusu hizi societies.
Huyu Mzee nilibahatika kukutana nae ,akanipa hiki kitabu na Kupiga nae picha kadhaa
 

Vizuri, kuna misleads nyingi sana kwenye hizi mambo.

Ukijua basics inasaidia kuelewa kwa kiasi uhalisia tofauti na wengi wanavyopotosha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…