Tukumbuke Flaviana Matata was discovered na jamaa mmoja black american aitwaye Russel Simmons aliyemtambulisha huyu mdada kwa fashionista kama Tommy Hilfiger na wengineo wengi. Turudi kwenye maada, How was Flaviana introduced to the secret societies????. In America many top fjgures in all industries including modelling and fashion are members of these secret societies either willingly or unwillingly. Unwillingly nitaieleza kwa kugusia upande wa modeling and fashion, huwa hizi top agencies zinapokupa contract kupitia hizo contract kama hauko carefull then unajikuta ukisign a devil's deal unwillingly. Kwenye willingness nj maamuzi yako tu. Kupitia Russell Simons and other top figures like Tommy Hilfiger hawa ndio walihusika ipasavyo katika kumuintroduce huyu dada kwenye secret society. Why??? Russel Simmons is a member and through introducing new young generations of these secret societies inamsaidia yeye katika personal success(sitaongelea sana hapa) hivyo ni mmoja wa recruiting people katika hizi secret societies so my point is Dada yetu was recruited na unapokuwa katika industry hizi influence iliyopo haikuachi mzma ni lazma utagive in tu. Mfano m hai ni kilichomkuta Cara Delevingne walimpandisha high then akawa offered the deal tayar akiwa kashaonjeshwa success at the highest level. Niishie hapo but ukiwa hujaridhika mkuu fuatilia kwa kufanya binafsi then jibu litakuwa the same na hili nilitowalo.Wacha maneno mengi weke facts, Niko happa nakusbir uziweke
Exactly na ndio wanavyotaka hata wao, hivi kweli ingekuwa kila mtu anatambua sidhani kuna mtu angedhubutu kufanya hivyo mkuu.Ujue hata kuvaa nguo kuna jamii nyingine wanaona ni vitu vya tofauti. Ambaye ana amini hicho kitu ndio atakitafsiri vile kilivyo. Mfano wewe una amini illuminati obviously ukiona mtu katumia alama zenu utajua ni mwenzio lakini kwa mimi ambaye sijui naona ni pozi tu.
Not only symbols hata all the leaders mnaowa admire all are part of this secret societies eg Obama, putin, trump etcNi uamuzi wa mtu binafsi kupenda kuujua ukweli.
And,,,
Remember, symbols rule the world.
Who said so??? Women are all allowed though they practice their rituals differently, uingereza london pale khna masons wa kike na they have there HQ pale uingereza, kwenye hili suala hawana ubaguzi wa nani asiingie since they aim katika kukana uwepo wa God almighty mkuu, sorry kama utakwazika.
Sikujua hii mana bila hizi society hutobozi maana ndo wana connection za madeal yao.Tukumbuke Flaviana Matata was discovered na jamaa mmoja black american aitwaye Russel Simmons aliyemtambulisha huyu mdada kwa fashionista kama Tommy Hilfiger na wengineo wengi. Turudi kwenye maada, How was Flaviana introduced to the secret societies????. In America many top fjgures in all industries including modelling and fashion are members of these secret societies either willingly or unwillingly. Unwillingly nitaieleza kwa kugusia upande wa modeling and fashion, huwa hizi top agencies zinapokupa contract kupitia hizo contract kama hauko carefull then unajikuta ukisign a devil's deal unwillingly. Kwenye willingness nj maamuzi yako tu. Kupitia Russell Simons and other top figures like Tommy Hilfiger hawa ndio walihusika ipasavyo katika kumuintroduce huyu dada kwenye secret society. Why??? Russel Simmons is a member and through introducing new young generations of these secret societies inamsaidia yeye katika personal success(sitaongelea sana hapa) hivyo ni mmoja wa recruiting people katika hizi secret societies so my point is Dada yetu was recruited na unapokuwa katika industry hizi influence iliyopo haikuachi mzma ni lazma utagive in tu. Mfano m hai ni kilichomkuta Cara Delevingne walimpandisha high then akawa offered the deal tayar akiwa kashaonjeshwa success at the highest level. Niishie hapo but ukiwa hujaridhika mkuu fuatilia kwa kufanya binafsi then jibu litakuwa the same na hili nilitowalo.
My reliable sourcesWho told you kwamba Masons hawaamini uwepo wa Mungu?
Ndoa yake ilishaiufaga siku nyingi.Ndoa yake ilifia wapi...!?
Tukumbuke Flaviana Matata was discovered na jamaa mmoja black american aitwaye Russel Simmons aliyemtambulisha huyu mdada kwa fashionista kama Tommy Hilfiger na wengineo wengi. Turudi kwenye maada, How was Flaviana introduced to the secret societies????. In America many top fjgures in all industries including modelling and fashion are members of these secret societies either willingly or unwillingly. Unwillingly nitaieleza kwa kugusia upande wa modeling and fashion, huwa hizi top agencies zinapokupa contract kupitia hizo contract kama hauko carefull then unajikuta ukisign a devil's deal unwillingly. Kwenye willingness nj maamuzi yako tu. Kupitia Russell Simons and other top figures like Tommy Hilfiger hawa ndio walihusika ipasavyo katika kumuintroduce huyu dada kwenye secret society. Why??? Russel Simmons is a member and through introducing new young generations of these secret societies inamsaidia yeye katika personal success(sitaongelea sana hapa) hivyo ni mmoja wa recruiting people katika hizi secret societies so my point is Dada yetu was recruited na unapokuwa katika industry hizi influence iliyopo haikuachi mzma ni lazma utagive in tu. Mfano m hai ni kilichomkuta Cara Delevingne walimpandisha high then akawa offered the deal tayar akiwa kashaonjeshwa success at the highest level. Niishie hapo but ukiwa hujaridhika mkuu fuatilia kwa kufanya binafsi then jibu litakuwa the same na hili nilitowalo.
My reliable sources
Leo nimeona ka tweet kuhusu Mo kuwa message zinakuwa delivered kwa wasapNilisikia Mo anapiga hii manzi
Unataka kutuambia ni mwanachama wa wajenzi huru??
This is not a coincidence [emoji457]
kwa dhana hiyo jicho moja lingekuwa wazi.Akili kubwa. Hongera
Kumbeee...kwa dhana hiyo jicho moja lingekuwa wazi.
Anyone can come up with a bunch of stories but not me.Ulichokiandika siyo Facts mkuu, anyone can come up with this.
We need Facts
Sikujua hii mana bila hizi society hutobozi maana ndo wana connection za madeal yao.
wengi Freemason wanayodhani wanaijua ni hii wanayosimuliana vijiweni na kulishana matango pori.You have a lot of work to do to know them.
Anyone can come up with a bunch of stories but not me.
Just to clarify we are talking about secret societies such as The illuminati since this is the top society on the chain