FlatTv HD Na Subhoofer Vinauzwa Bei Poa Sana

FlatTv HD Na Subhoofer Vinauzwa Bei Poa Sana

frema120

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2012
Posts
5,098
Reaction score
1,341
Vitu hivi vinauzwa ni faster na kijana wa chuo, kaniletea sasa hivi na me sina hitaji navyo, nikaona ni busara kumtangazia hapa, pls mwenye mahitaji navyo PM me nikupe direction thanks.

~ TV ni mtumba flat inch 26 iko poa HD ready safi kabisa sh 270,000 cash.
~ SubWoofer ni Kubwa kiasi KodTEC orginally yenye uwezo mzuri sh 80,000 cash.

Asante sana! bei inashuka.
 
Attachments

  • Tv.jpg
    Tv.jpg
    26 KB · Views: 384
Sasa Tv haina jina? Kama unavyo hapo weka picha
 
huo tv ni kampun gan? vp 200
achukui??? unaeza atach picha ya tv niione??
 
220 tufanye biashara,weka picha kwanza
 
Vitu hivi vinauzwa ni faster na kijana wa chuo, kaniletea sasa hivi na me sina hitaji navyo, nikaona ni busara kumtangazia hapa, pls mwenye mahitaji navyo PM me nikupe direction thanks.

~ TV ni mtumba flat inch 26 iko poa HD ready safi kabisa sh 270,000 cash.
~ Subhoofer ni Kubwa kiasi KodTEC orginally yenye uwezo mzuri sh 80,000 cash.

Asante sana! bei inashuka.

Inch 26? Si ni laptop hiyooo?
 
Back
Top Bottom