mfianchi
Platinum Member
- Jul 1, 2009
- 11,855
- 8,253
hee embu tueleze hapo kwenye wekundu wa msimbazi ,ina maana wote wenye LCD imekula kwao mbona LED ni aghari sana,itabidi basi nibaki na mzinga wangu wa nyukimkuu usije logwa ukanunua LCD!LCD inatumia crystal,na crystal huwa inaisha!nunua LED!kama huna hela ya kutosha bora ujichukulie gobole lako tu,,ile design ya kizamani!aka mzinga wa nyuki.