Flat screen

Flat screen

kikwambi

Member
Joined
Jun 30, 2016
Posts
92
Reaction score
31
Wakuu habari za Leo? Naomba kuuliza, Tv yangu flat screen aina ya Ouling inch 32 imeharibika display pale kwenye kioo hakuna kinachotokea zai ya mistari na wino tu je inaweza kutengenezeka kwa mafundi au nijipange upya kununua nyingine?
 
tafuta screen nyingine mkuu japo ni ghali
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom