Flash Disk

Flash Disk

stephot

JF-Expert Member
Joined
Mar 1, 2012
Posts
18,114
Reaction score
28,013
Msaada jamani,flash yangu nahisi itakuwa imeingia Virus,kinachotokea ni kwamba niki-click kwenye folder yoyote inanionyesha Empty,nikifungua files nyingine hazifunguki,nikijaribu ku-delete anything ina-stuck kwa muda na hakuna action yoyote inayoendelea,nimejaribu ku-scan,kuna virus wanakamatwa lakini niki chukua action(neutralize,send to chest or delete) against the threat hakuna kinachofanyika inagoma,Virus wanao kamatwa niTrojan program-dropper.Win32.small,VirusNet-worm.Win32.kido.ih na Virus p2p-Worm.Win32.palevo.fiol source kama nilivyopanga above \boot.exe,RECYCLER\s--5-3-42..... na \nymphinsq\thundrop.exe,nimejaribu ku-format pia inagoma.Msaada ninachotaka tu ku-rescue flash yangu hata kama hizo data zitapotea sio shida.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom