FL1 -Sorry kama nitakukwaza !

nahitaji kujua machache ya huyu Dada/Mama sina nia mbaya hata kidogo...sidhani kama kuna ubaya mwanamke kumpenda mwanamke mwenzie
FL1 samahani najua sijakukwaza kama nilivyowakwaza wengine ,niko serious ingawa wengine mnaniona kama ..i know nothing
nakuomba dada wa kwanza ..usikwazike narudia tena sijawahi kuona una-argue na mtu naomba mie nisiwe wa kwanza
Kutoa Topic hii naelewa wote mlioko hapa ni watu wazima na hekima zenu ...
pls tuwe na amani huu mwezi wa Toba
 
nahitaji kujua machache ya huyu dada/mama sina nia mbaya hata kidogo...sidhani kama kuna ubaya mwanamke kumpenda mwanamke mwenzie
fl1 samahani najua sijakukwaza kama nilivyowakwaza wengine ,niko serious ingawa wengine mnaniona kama ..i know nothing
nakuomba dada wa kwanza ..usikwazike narudia tena sijawahi kuona una-argue na mtu naomba mie nisiwe wa kwanza
kutoa topic hii naelewa wote mlioko hapa ni watu wazima na hekima zenu ...
pls tuwe na amani huu mwezi wa toba
haya sasa:D
 
Dah! Ukiwa kwenye nyumba ya vioo usianzishe vita ya mawe! Egyps-women angalau umeomba msamaha kwa binamu yangu! Maana ulishamkwaza!

khee maana nikahis likizo iliisha juuu kwa juu mi sina taarifa!!!
 
we si umesema umeondoka na mafuriko?

Tumeletewa mitumbwi kutoka kitengo cha maafa (PMO) na bahati nzuri kambi tumewekewa hapa karibu na hiki kiwanja maarufu ndani ya "Rocky City".

Kwahiyo baada ya tafrani zote hizo ni BIERE baridi

Samahani kama nimekukwaza
 
Aliyeulizwa ni FL1, sasa wengine kinyege nyege cha kuchangia mada hii kinatoka wapi? sorry kama nitawakwaza.

aaah umenikwaza bana Kaitaba!!!

tunachangia kwa kuwa pia amesema anauliza kwa niaba ya JF MEMBERS....EBOO!!!!

samahani kama nimekukwaza mkuu
 
nahitaji kujua machache ya huyu Dada/Mama sina nia mbaya hata kidogo...sidhani kama kuna ubaya mwanamke kumpenda mwanamke mwenzie

tuwe na amani huu mwezi wa Toba
Haya sasa! Si unaona tena haya mambo? Maskini FL1 wetu kashajipotezea kwa hofu!

Mwezi wa toba ukiisha amani itoweke siyo?

Samahani kama nimekukwaza!
 
aaah umenikwaza bana Kaitaba!!!

tunachangia kwa kuwa pia amesema anauliza kwa niaba ya JF MEMBERS....EBOO!!!!

samahani kama nimekukwaza mkuu

Hapo Mamushka wala hujamkwaza. Kwa kweli kabisa hamna kikwazo hapo!
 
If I we u(boy)ningeuliza hivi:SOMA KWENYE RED N BLAK
Nimesoma Profile yako sijapata nilichokuwa natafuta nilikuwa natafuta...............
Nimekutumia PM bila majibu..umeni-ignore (not fair)au ulikuwa busy dadangu?
Kupitia Post yako ya leo najisikia kumwambia mme wangu nampenda …ni kweli umeolewa ?? Ni kweli ulikuwa unamanisha ?hongera kwa kuolewa na unaonyesha mapenzi ya dhati kwa mumeo
Kupitia post ya Pearl .. 1st lady: mcha Mugu,anampenda mumewe,anapenda kazi,mdada mwenye heshima zake....

Naomba kwa niaba ya wana JF utujuze mmeo ni nani ndani ya JF ..kama kweli unampenda ..tumjue shemeji yetu ..?shemeji atakuwa amepata mke mwema na bora atokae kwa Mungu
Je michango yako katika jukwaa la mapenzi na mapendo (mzee hasikii wivu)mumeo muelewa eeeh?mutakuwa unafurahi kupata mume bora kama yy

I love you FL1
**********
LAKINI MASWALI MENGI YA MUMEWE YA NN?SHIFA YAKO NI YY MUMEEEEEEEEEEE!,WIVU SINA ILA ROHO INAUMA
SAMAHANI KAMA SIJAKUKWAZA
 
Mie nilijitolea kumtengenezea simu bure akanichunia.
Lkn kama ata kuwa anafikia angalau 75% ya avarta yake atakuwa bomba (si wanasema "Aim at higher ....."). Hivyo napendekeza tumtangaze kuwa yeye ni Miss JF na muanze kuchangia zawadi ya kagari Tshs 75Milioni. Mimi nitakuwa Mwekahazina
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom