Fl studio..............!!!

Fundifundisho

Member
Joined
Jan 11, 2011
Posts
77
Reaction score
18
Nimejifunza fl studio na kiasi flani nimeanza kujua kutengeneza muziki ila tatizo niliyonayo ni demo hivyo siwezi ku save biti,
nimejaribu ku google nakutana na za kulipia,
naomba mwenye link ambayo ntaweza download itakayoniwezesha kusuka biti na ku save...
natanguliza shukrani.:help:
 
mkuu jaribu piratesbay.com ingia alafu i search utaipata waliyo i crack ila kuidownload inabidi udownload u torrent kwanza ndo itakuwezesha ku download torrent files
 
  • Hii hapa Chukua FL Studio Producer Edition 11.0.0 Final
    Code:
    [url=http://extratorrent.com/torrent/3052074/]FL Studio Producer Edition 11.0.0 Final - R2R [ChingLiu] torrent - Windows - Sound Editing torrents - Software torrents - ExtraTorrent.com The World's Largest BitTorrent System[/url]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…