‘Fixed’?

Hmm

Hapana. Chadema tena?

I’m talking about something intramural....possibly.
 
Nyuma ya sababu ya ku ‘Fix’ ni nini hasa ni moja ya haya labda

Je, ni hulka tu ya binaadamu kuumiza wenzi wake kutokana na wivu wa kibinaadam

Je, muhusika labda kaumiza jamii yake na kwa kiwango gani na uwingi gani kwa waathirika?

Je, uumizaji ulikuwa wa nia nzuri kwa hao wachache ili wengi wapone au ni wa kukomoa tu au uumizaji umekuwa ni wa wengi na waambata wameiona hatuna sababu ya kuumia/ kuumizwa

Je, ni tamaa na wivu ya baadhi ya inner circle kuutaka ukuu maana unakuja na uruwa mwingi

Mwelekeo wa mbele kama jumuiya kwa dereva ulikuwa unaleta matumaini au hofu kwa jamii nzima

Wenye maamuzi wengine walikuwa na mtizamo mmoja na Boss au waliona ni hatarishi kwa uruwa wao na vizazi vyao kwa falme walizozijenga

Je dereva alikuwa anashirikisha wenzi wake kwa maslahi ya wote au ni ka kikundi ka wachache na kwa maslahi yao tu hao wachache

Je mifumo yetu ya zamani kabla ya dereva huyu ilikuwa inatufikisha mwisho wa safari salama au ni kuishia kwenye korongo na dereva mpya kapiga u turn kwa kuona tungeenda siyo sehemu tarajiwa, na labda wengine hawapo tayari kwa mgeuko huo ndo ikaaanza fitina

Je ni hofu ya kesho yetu na majaliwa yake na pengine ilitakiwa tuumie leo ili kesho tupone kama jamii na ustawi wake na hata kama sio sisi wafaidika labda ni kizazi kijacho au ni hofu ya mabadiliko kutokana kutaka ya leo leo tu ( African way of thinking) na tamaduni zetu nzuri au hasi

Kuna mengi ya kujiuliza sababu ni ipi ya ku ‘fix’
 
Hii tafsiri kuna maeneo umechanganya.

Tazama vizuri uwese kupata tafsiri nzuri kwa namna alivyolitumia neno ruffled.

Tafsiri yake sahihi ningesema, 'Ameharibu/amesasambua manyoya mengi ndani ya mfumo, ilikuwa ni suala la wakatitu'
 

This by itself would propel you to the top of the cadre of conspiracy theorists!
 
15 March 2021
Nairobi, Kenya

Tanzania Vice President speaks out speculations over President Magufuli's health and whereabouts

Let’s cross borders south, Tanzania's vice president Samia Suluhu Hassan has given the clearest indication yet that president John Pombe Magufuli might be unwell, following days of speculation over the president’s whereabouts. President Magufuli has not been seen in public for a few weeks now. Vice president Hassan has urged Tanzanians to ignore rumours doing rounds.
Source : KTN News Kenya

.................................................................

Makamu wa rais Tanzania azungumzia kwa mara ya kwanza swala la aliko Rais Magufuli

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…