The Mongolian Savage
JF-Expert Member
- Jul 5, 2018
- 9,170
- 20,202
Bwana mdogo jitahidi sana kuwa na adabu kwa waliokuzidi umri, exposure, elimu na pesa.Tafuta kazi ya kufanya, acha kunifatilia
Haya nami ni mtanzania nijibu au thibitishaKama mtanzania
Sasa wewe unasema 2012 wakati mimi na Maxence Melo ndo waanzilishi wa JF. Bwana mdogo inaonekana hunifaham wewe. Nenda kamuulize DG msuya atakuambia mimi ni nani.Wewe ni shoga nini? Nipo JF toka mwaka 2012 sitishwi wala sitishiki
2012 uko kwenu huko Kazuramimba unakata mkaaSasa wewe unasema 2012 wakati mimi na Maxence Melo ndo waanzilishi wa JF. Bwana mdogo inaonekana hunifaham wewe. Nenda kamuulize DG msuya atakuambia mimi ni nani.
Hamnaaaa Bana Apotezee nini? Thibitisha banaaa!Mkuu potezea tu
Njoo ofisini keshoHamnaaaa Bana Apotezee nini? Thibitisha banaaa!
Nitawatuma vijana wangu Rama na Frenki na usipowapa ushirikianoNjoo ofisini kesho
Wasisahau kubeba ID zao maana getini hawatopitaNitawatuma vijana wangu Rama na Frenki na usipowapa ushirikiano
Kwa Nini unasema ni supporting?Points zako zipo too surporting rather than denying.
Your post is more of Ironic
Bwana mdogo jitahidi sana kuwa na adabu kwa waliokuzidi umri, exposure, elimu na pesa.
Usinilazimishe kabisa nikutamkie neno baya iwe laana kwako. Sitaki iwe hivyo.
Sauh'waaa?!
Halafu hii "google translate"ndiyo inayo complicate kabisa kiswahili kwa kiasi kikubwa mno. Actually, walitakiwa waiite google dictionaryYaani haka ka-translation ka Google ndo kamezidi kuufanya huu uzi kuwa mgumu...
Watu wengi hawajui kuwa kiswahili ni kigumu zaidi kuliko mayai ya malkia.
Kwa muktadha huu, mimi na wasomi wenzangu wa VETA wa fani ya "welding and fabrication" tunaahidi kutoa ushirikiano mkubwa tukiwa kama wapenzi wasomaji na wagonga like...
Tuendelee kuifuatilia kwa makini hii conspiracy theory ya kibongobongo...
K Vant njoo uniongezee vocabularies kwenye medula yangu
Usichokijua hapa ni kwamba hawa watu wawili, kuna mmoja wao sometimes huwa anatumia ID ya mwingine. Believe me!Natamani siku moja Mods wakutanishe hii miamba miwili kwenye malumbano ya lugha.
Nyani Ngabu na Kiranga mna battle yenu itabidi muifanye. Nani ni nani kwenye kunyambulika na English
siku mliyokuwa mmepanga iwe ya uapisho wa mama.19th March
Hatusomi ng'o, wazungu ndio wasome kiswahili kwani sisi tuko bize na uchaguzi wa urais 2025 kwani wapinzani wanaimezea mate nchi yetu.Watu mkiambiwa someni hamtaki, oneni sasa mnashindwa kujua jamaa kamaanisha nini.
Smh
Mtu anayejifunza lugha nyingine ambayo si ile ya kuzaliwa, anakuwa considered kuwa ni msomi kwa sababu anachofanya yeye ni language analyisis ambayo hupelelekea ajue hadi mambo ambayo hata yule aliyezaliwa anaongea lugha hiyo; hayajui. Mfano wa watu wa aina hii ni kama wale wanaosoma linguisticsKwani kujua lugha laz
Kwani kujua lugha lazima uwe msomi? niachojua mimi lugha haihitaji usiomi bali ni ama umezaliwa nayo ama unakoishi kama ni usukumani inabidi uongee kisukuma kwa kuongea na wenyeji,ukienda Rungwe au Kyela kutokana na mazingira lazima utajua Kinyakyusa si kwa kwenda darasani bali kwa kusikia na kuongea na wenye lugha, kutunanga Watanzania kuwa tukasome wakati hata huko kwa wenye lugha wenyewe wapo wengi tu hawajui Kiingereza pamoja na kuwa Waingereza,sawa na hapa Watanzania sio wote wanajua Kiswahili
How do you measure the dgeree with which something is deemed to be ordnary or extra-ordinary? With what scientific tool /instrument can you achieve that?Carl Sagan said extraordinary claims require extraordiary evidence.
How outrageous and off the beaten path your claims are must be directly proportional to how outrageous and off the beaten path your evidence is.
Otherwise, you will slowly descend into chaos.
Wewe unaona kwa andiko hili anaomboleza? Unajua kusoma kiingereza na kukielewa pia?Msukuma akiombolezea msukuma mwenzie
Logical consistency.How do you measure the dgeree with which something is deemed to be ordnary or extra-ordinary? With what scientific tool /instrument can youachieve that?
Hoja yako imenichekesha sana na pia imenikumbusha swala la vyura wa Kihansi ambao huwa wanazaa watoto wazima. Sasa mimi nilikuwa napata shida sana namna wanavyogharimikiwa gharama kubwa sana na priority kubwa sana kuzidi hata binadamu. Sasa nilikuwa siku zote najiuliza kwa nini umuhimu sana kwa chura anayezaa watoto wazima, wakati yupo binadamu ambaye naye pia huwa anazaa watoto wazima siku zote, miaka nenda rudi?Logical consistency.
Kama kila siku tunaona wanawake wakubwa wanazaa watoto wadogo kwao, leo ukiletewa mtoto mdogo wa siku moja, halafu ukaambiwa huyo ndiye mama mzazi wa kibaiolojia wa bibi mzee wa miaka 80, that will be extraordinary and will require extraordinary evidence.
Because it is not logically consistent with the ordinarily observed fact kwamba wanawake wanazaa watoto wadogo zaidi yao.
I’m not big on conspiracy theories.
But in the absence of veracious information, what’s one to do?
Just sit idly by and wait for it to be delivered to your doorstep?
Nah! Not for a thinking man.
I enjoy ruminating on things. I raticionate on just about anything, to make sure that I cover as much bases as possible.
So, with that being said, I have a question.
How likely is it that he’s [you know who] been ‘fixed’?
If I were to hazard a guess I’d say because he has ruffled a lot feathers within the system and along the way, and with the pandemic serving as a perfect and an expedient backdrop, it was just a matter of time before they caught up to him....and did what they had to do.
How does that sound? Too far-fetched?
I’m just sayin’. I’m not sayin’. But you know what I’m sayin’.
✌️