Fix gani kubwa umewai pigwa 2020

Eizyek

JF-Expert Member
Aug 12, 2019
800
2,767
Merry Christmas and happy new year

Katika maisha kama binadamu tunapitia mengi na changamoto nyingi sana kwangu mimi nimewai pigwa fixi na bint niliyekuwa na mahusiano nae kuwa amebeba ujauzito wangu nilipagawa sana maana nilikuwa sijajipanga ila mwisho wa siku alikuwa ananidanganya aikuwa kweli
 
Tuliambiwa February mwaka huu Kipande cha Dar-Moro tutaanza kutumia treni ya mwendo kasi, fix kali kabisa kutokea kwa mwaka huu
 
Merry Christmas and happy new year

Katika maisha kama binadamu tunapitia mengi na changamoto nyingi sana kwangu mimi nimewai pigwa fixi na bint niliyekuwa na mahusiano nae kuwa amebeba ujauzito wangu nilipagawa sana maana nilikuwa sijajipanga ila mwisho wa siku alikuwa ananidanganya aikuwa kweli
Nilidanganywa kijiji changu kitapewa milioni 50 mpaka sasa umeyeyuka .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom