Five Reasons Kenya Funds Evil Scenes in Ngorongoro Crater

Kenya haiwaogopi. Inaogopa ujinga yenu ju mnaweza uza Mali ya waafrika Kwa waarabu nyinyi. Mnaletaje waarabu kuwinda Wanyama Pori Kwa ardhi ya Wamaasai.
Hivi Ile ardhi yote mliyonyang'anywa na Jommo Kenyatta na ardhi kubwa inayomilikiwa na Del Monte na wazungu wengine, matokeo yake wakenya wengi wanakufa kwa njaa, mbona hamuizungumzii badala yake mnazungumzia ardhi ya Tanzania?

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
An outright porojo, a clear fabrication., hii ni mwendawazimu na kilaza ndio ataamini, which Kenya? mitanzania mbona mnajishuku sana? kila kitu kulaumu Kenya, ufukara wenu tatizo ni Kenya, ujinga tatizo ni Kenya, underdevelopment Kenya ndio chanzo.., idiots
1)Kati ya Kenya na Tanzania wapi Kuna Njaa, Jobless ness, Slums, starvation?
2)Kwani sio kweli kwamba Kenya Kuna hashtag inayotumia Mlima Kilimanjaro kutangaza Mlima Kenya?

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Five Reasons Kenya Funds Evil Scenes in Ngorongoro Crater

By James Mulaitu, Kenya
June 13, 2022


Sponsored media and special tasks in my country (Kenya) are now busy misleading the world through false videos, pictures, and creating artificial scenes showing the Maasai in Ngorongoro crater badly beaten, injured, admitted, and treated in Kenyan hospitals.

All of these scenes are created and disseminated on one fabricated theme: "the government is forcing the Maasai out of their native villages to allow the UAE and some western countries to use the land for their hunting safaris."

As a Kenyan and frequent tourist in the crater as well as the neighbor, I am convinced that Kenya is sponsoring these fabricated scenarios to turnish Tanzania’s image internationally and dwarf all economic strategies engineered by President Samia Suluhu’s government that may soon outsmart the Kenyan economy.

Tanzania-Kenya Oil Pipeline, Kenya is not happy with the decision of Uganda to route its oil exports through Tanzania after a report found the country was a cheaper and more secure option than in the already signed deal that has angered Kenya, Uganda will use Tanga, a seaport city about 200km north of Dar es Salaam, to export its crude oil rather than Lamu in Kenya. The project is envisaged to create 15,000 jobs in Uganda and Tanzania.

Uganda’s decision not to partner Kenya is a major blow to the region’s biggest economy and could have strained underground relations in the bloc as well as Tanzania. Kenya has recoverable oil reserves of up to 750 million barrels, dwarfed by Uganda’s recoverable reserves of 1.8 billion to 2.2 billion barrels (pdf).

The Royal Tour, The government of Kenya is not happy with the "Royal Tour" documentary film, officiated by President Samia in the US and spread to all parts of the world with the aim of promoting and marketing Tanzania’s tourism in the world.

Kenya is in great panic that the film, which has been well received around the globe, will dwarf its tourism sector. That is why it is fighting hard to damage the Ngorongoro crater, which is one of the few tourist attractions in the world with humans living wild animals.

In the period from January to April 2022, 367,632 tourists visited Tanzania. This is an increase of 92,535 tourists, equivalent to +33.6% compared to the 275,097 tourists who entered the country during the similar period in 2021.

The number of tourists arriving in 2022 is expected to increase more than the number of tourists recorded before the COVID-19 pandemic due to the government’s efforts to promote tourist attractions such as national parks, beaches, Mount Kilimanjaro, and game reserves.

Mount Kilimanjaro, It is now clear that Kenya is not happy with Mt. Kilimanjaro being found in Tanzania. There is a big campaign in Kenya via social media and other outlets telling the tourism world using the hashtag # we are happy to offer a 13-day expedition that will not take you to the summit of Kilimanjaro, but will first take you to the summit of Mount Kenya, 5,199m. And, as a result of that first climb, you will get all of the acclimatization you need for the second one.

Dar es Salaam Port, The heat from Kenya’s campaigns ahead of the August 9 General Election is affecting the flow of goods on the Northern Corridor, with Tanzania benefiting from the windfall as more cargo destined for the Great Lakes region is diverted to the Dar es Salaam port.

With memories of the 2007/08 post-election violence that disrupted transport on the corridor still fresh and a $63 million compensation award ordered by a Nairobi court still pending many importers, especially Ugandans and Rwandans, are opting for the Central Corridor.

Due to this cargo flight, transit volumes through the Dar es Salaam port to the Central Corridor have recently recorded significant growth as Mombasa registers plateaued or declining volumes of goods on the northern route. This has badly angered Kenya.

According to the latest Mombasa Port Corridor Community Charter report, transit volumes through the Dar es Salaam port grew by 21 percent in 2021, while those through the port of Mombasa declined by 6.2 percent in the same period. This badly angers Kenya.

Serengeti wins as Africa's leading national park, Kenya is not happy with the declaration of Tanzania's Serengeti as the 2021 Africa's leading national park, the Tanzania National Parks (TANAPA) by the World Travel Awards (WTA). It should be noted that Serengeti has won this award for the consequtively three tears (2019-2021) and no any Kenyan park has managed to tread.

This increases Kenya’s anger. That is why it is a big campaign to damage Tanzania’s tourism industry using its own created and fabricated scenes in Ngorongoro.
hongera nyangau ulieenda shule, Tanzania tumekuwa na huruma sana na majirani na kuwafanyia mengi ikiwamo kutumia hata rasilimali zetu katika kutatua migogoro yao mfano post kenya election 2007, ukombozi wa bara la afrika, kumwondosha idd amin madrakani lakini hata hivyo majirani zetu hawa hawa wamekuwa wakitumia wema wetu vibaya kwa kutuhujumu hasa kiuchumi. Hivi karibuni tumeshuhudia wakenya na vyombo mbalimbali vya kenya vikieneza uwongo huku serikali yao ikiwa kimya kuhusu ujenzi wa bwawa la mwalimu nyerere unaoendelea eti ni uharibifu wa mazingira bila aibu nyangau akasahau kenya ni jangwa kwasababu wakenya ndiyo vinara wa uharibifu wa mazingira kwa kuuza hata misitu kwa ajili ya ujenzi, uhamishaji wa wakaazi wa ngorongoro lengo likiwa ni kuwa na uhifadhi endelevu katika bonde la ngorongoro lakini wakenya wanataka kulihujumu zoezi hili kwa kuchochea wananchi kwamba serikali inahamisha watu kwa nguvu , uchochozi wa waziwazi wa wakenya kushawishi uungwaji mkono ili bomba la mafuta kutoka hoima uganda hadi bandari ya Tanga lisijengwe. Tulishuhudia mwanafunzi wa kikenya nchini ufaransa akiongoza maandamano ya kupinga ujenzi wa bomba la mafuta, hafanyi hivi kwa kufahamu umuhimu wa utunzaji wa mazingira bali ni chuki na wifu wa maendeleleo wakenya walio nao kwa Tanzania na watanzania. n.k kiujumla kenya na wakenya siyo jirani mwema
 
Kwahiyo hata yule dada toka Nigeria aliyesema alibakwa kule Zanzibar, na ninyi mkaanza kutangaza Dunia nzima na kujaribu kuitangaza Dunia kwamba Zanzibar sio salama kwa watalii pia ni jamii Moja na ninyi?. Hiyo article hapo juu imezungumzia ukweli mtupu. Kenya mnatuogopa Sana, na mko na wivu Sana kwa Tanzania

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
na haya yana mwisho wake, kuna mbegu wanaipandikiza kwa sisi majirani, ndiyo maana Magufuli nilimwelewa sana, mikenya imejaa hapa Tanzania ikichuuza bidhaa lakini mtanzania akiwa Nairobi ni nongwa, KQ ilikuwa inafika zaidi ya mara kumi na nne kwa wiki hapa Dar lakini watanzania ilikuwa ngumu kufungua biashara yoyote ya maana kenya, wakenya soko kubwa la bidhaa zao lipo hapa lakini wanaweka vikwazo vya kila namna kwa bidhaa kutoka Tanzania kuingia kenya, hata malighafi kama mahindi nayo wameona nongwa wapo tayari kuagiza Brazili. KENYA NI JIRANI MPUMBAVU AMBAYE TANZANIA KAMA NCHI TUNATAKIWA KUISHI NAYE KWA UMAKINI SANA.
 
Jombaa mimi nazungumza kuhusu jambo ambalo ninaweza nikadhibitisha kwamba ni la kweli. Wakenya ambao huwa wanaingia kwenye jukwaa hili wanaweza wakatoa ushuhuda, kuhusu experience zao. Kila wanapojaribu kuzungumza na wakenya wengine kuhusu masuala au habari za Tz, ambazo huwa wanazipata humu Jf.

Nchini Kenya nobody gives a rat's a*s about Tz, honestly. Mnadhani wakenya huwa wanaketi kwenye vikao wakizungumza kuhusu masuala yenu? What a fallacy, asilimia kubwa ya wakenya wanamjua tu rais wa Tz, basi.
Kenya kuna wamaasai wengi sana kutoka Tz. Wanafanya kazi karibia zote za security mijini na biashara pia. K.m. maeneo ya Kamkunji, jijini Nairobi, Wa-Arusha wanawazidi wenyeji kwa ratio kubwa. Kwa hivyo maandamano kwenye ubalozi wa Tz haimaanishi kwamba watakaohudhuria ni wakenya tu.

 
Back
Top Bottom