The Priest
JF-Expert Member
- Dec 8, 2010
- 1,029
- 259
Kama haya ni kweli yametokea, Inabidi ABG mbadili CSR strategy yenu. TT please do the needful!.
Hawa polisi kwann hawasaidii hao wazalendo wachache wanaoona mbali kurejesha rasilimali zetu au hawa polisi si watanzania, halafu kama akili hawana vile mapolisi yEtu kama mazezeta vile nchi imetekwa na mafsadi raia wanafanya jitihada za kuikomboa, polisi wanawarudisha nyuma! Pumbaf
Hao siyo inruders hao ni wenye mali wachoka na ujinga wa wezi wajimba madini kuiba kwa kushirikiana na viongozi wetu hivyo hawana mtetezi zaidi ya kujimibilise na kutumia mawe, nawapongeza kwa kwenda kushare kuchukua mali zao kwa majizi haya na hao waliokufa wamekufa kishujaa na wengige wauinge mkono vuguvugu hilo hasa kwenye migodi ya Buzwagi na Kahama mine
Wananchi wanaona raslimali za nchi zinaondoka halafu hawafaidiki nazo hivyo wanaona wajitoe muhanga. Serikali ipeleke kikosi haraka ili kupunguza mauaji ya raia. Kikosi hicho kitumie njia mbadala indead of kukimbilia kuua raia. Poleni sana wana Nyamongo kwa madhila yanayowapata!
Idadi ya intruders walokufa imefikia watano..new updates
Hata wakati wa uchaguzi mlisema hivyohivyo kuwa siye nduhu tabu lakini leo mkoa wa Shy ndiyo wenye wabunge wengi zaidi wa upinzani kwa nchi nzima. Iko siku tutatoka ndiyo mtatujua kuwa kumbe avumaye baharini...................Hao wasukuma hawawezi wa kahama hawawezi kuresist wao kila kitu toho shida (hakuna tatizo) ngoja kina mura wafanye kweli hao ndo wanaume wa ukweli.