Five easy ways to please your man

Five easy ways to please your man

englibertm

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2009
Posts
9,252
Reaction score
6,211
ways.jpg

We know you wanna make your guy happy as much as you can, so we got experts to dish advice on how you can please your man.
These tips are so simple, you'll be able to execute ASAP and soon your dude will be calling you the best girlfriend ever.
Leave Him Alone
Not all the time. But when he first comes home from work, or when he's really stressed out about something, sometimes what a guy wants most is to be quiet and by himself for a little while. When a guy's lady recognizes this and gives him that space, he notices and is grateful.
Let Him Be in Charge
Let's face it. Guys like to feel like they're in control. Try letting go of your need to be right (even when you probably are). Sometimes you just need to let him pick the route, the restaurant, or the movie without interjecting your "better" idea. This will make him feel like he's in charge and that you trust him.
Give Him A Sexy Surprise
Maybe putting on lingerie isn't your thing. No sweat, guys don't need that all the time. But try going outside your comfort zone every now and then. Meet him out for a drink in an especially little LBD, or surprise him with some sexy underwear. He'll know you're doing it just for him.
Lend Him an Ear
It's tempting to take control when your dude is in a rut, but pause for a second. Try not to solve his problem or tell him how you would do it if you were in his shoes. Let him talk, listen, and be supportive. Jumping in to fix rips his masculinity away, and puts you, instead, in that role. What he wants is some feminine nurturing, so listen, give him a hug, and let him vent.
Make It Clear You Want Him
You don't need to be overtly sexual to let your guy know you want him right then and there. Try subtle things like momentarily slipping your hand into his crotch during the drive home, or at a movie, or under the table at dinner. Him knowing how sexually attracted you are to him will please him like no other.
 
we Nicas Mtei naona unahangaika saaaana kuandika na kufuta nini shida au ndofu imo kichwani.
 
Last edited by a moderator:
Hicho kifungu namba tatu huwa kinawashinda wadada/wanawake wengi na umekua kama ugonjwa kwao.
Ile dhana au itifaki ya "predators" and "prey" hudhihirika kwa uwazi linapokuja suala la kushiriki majambozi.
Tabia ya jamii nyingi za wanyama zipo hivi, mnyama wa jinsia ya kiume huingia mawindoni pindi anapotaka kumuweka chini ya himaya yake mnyama wa jinsia ya kike. Jambo hili hudhihirika kwa wazi kabisa hata kwa sisi binadamu.
Si hivyo tu, bali linapokuja suala la ushiriki katika kufanya mapenzi, jinsia ya kike ndio huwa ya mwanzo kuonesha viashiria vya uhitaji wa huduma hiyo adhimu(kupandwa na joto). Hata wanadamu wa kike nao hukumbwa na hali lakini huwa wagumu kuwaonesha wenzi wao ni namna gani miili yao inaweweseka na kuhitaji mashamsham ya kimahaba kutuliza shauku zao.
 
hahaha. Kwani umekiona nilichokuwa nimeandika?

cha kwanza nilikiona nataka kujibu nashangaa net ikazingua loh kumbe unafanya matengenezo huko,nakujibu kigumugumu ''mi nilisoma bold point tu''
 
Asante. Ila sio wote wanapenda hivyo, na some are like that only sometimes.
mwenzenu mimi nahitaji maombi kwenye hilo la kwanza, lol!
yaani nimuone yupo stressed au down halafu eti nim-leave alone? mpaka aniambie kinachomsibu ndo nitam-leave alone aendelee kutafakari.
sijui ni ugonjwa!
 
Hicho kifungu namba tatu huwa kinawashinda wadada/wanawake wengi na umekua kama ugonjwa kwao.
Ile dhana au itifaki ya "predators" and "prey" hudhihirika kwa uwazi linapokuja suala la kushiriki majambozi.
Tabia ya jamii nyingi za wanyama zipo hivi, mnyama wa jinsia ya kiume huingia mawindoni pindi anapotaka kumuweka chini ya himaya yake mnyama wa jinsia ya kike. Jambo hili hudhihirika kwa wazi kabisa hata kwa sisi binadamu.
Si hivyo tu, bali linapokuja suala la ushiriki katika kufanya mapenzi, jinsia ya kike ndio huwa ya mwanzo kuonesha viashiria vya uhitaji wa huduma hiyo adhimu(kupandwa na joto). Hata wanadamu wa kike nao hukumbwa na hali lakini huwa wagumu kuwaonesha wenzi wao ni namna gani miili yao inaweweseka na kuhitaji mashamsham ya kimahaba kutuliza shauku zao.
mtani, mwanamke haiba......
hata chumbani, lol!
cc. snowhite
 
Last edited by a moderator:
cha kwanza nilikiona nataka kujibu nashangaa net ikazingua loh kumbe unafanya matengenezo huko,nakujibu kigumugumu ''mi nilisoma bold point tu''

hahaha. Unajua nini? Hizi lugha zilizokuja na meli huwa kuna muda hazipandi kabisa kwenye selebelamu, seleblam na medula obolongata.. Inabdi nihtaj msaada wa wahisani.
 
mwenzenu mimi nahitaji maombi kwenye hilo la kwanza, lol!
yaani nimuone yupo stressed au down halafu eti nim-leave alone? mpaka aniambie kinachomsibu ndo nitam-leave alone aendelee kutafakari.
sijui ni ugonjwa!

Haija haja ya kuombewa. Baki hvyo hvyo
 
Thubutuuu! Wanaume wa kibongo wanaotulizaliza kila siku!!....akaa sina mda huo
 
hahaha. Unajua nini? Hizi lugha zilizokuja na meli huwa kuna muda hazipandi kabisa kwenye selebelamu, seleblam na medula obolongata.. Inabdi nihtaj msaada wa wahisani.

nasikia Mentor amekulia huko mwambie akufundishe tuition,malipo yake utakuwa bestman kwenye harusi yake
 
Last edited by a moderator:
We guys need only 3 thing from women!

1.FEED ME
2.F--K ME
3.SHUT THE F--K UP
 
mtani, mwanamke haiba......
hata chumbani, lol!
cc. snowhite

Hahaha, hapa leo utani inabidi niuweke pembeni na niwafunde kama kaka wewe na mlongo wako.
Mume huwa anapaswa kuoneshwa dalili zote za kuwa una uhitaji kiasi gani na majambozi.
Sisi wanaume ambao tunajali na kuamini katika sanaa ya kungonoka "the art of love making", basi huona fahari pale wenzi wetu wanapotuonesha dalili, shauku na uhitaji wa majamboz.
Jifunze kitu kimoja, hakuna mwanaume awezaye kutuliza kiu ya mihemko yako zaidi ya mumeo/mpenzi, sasa ili mihemko hiyo ipatiwe tiba, jaribu kumuonesha kila dalili kwani kwako huyo ndio tabibu.
 
mlongo wangu snowhite come this way mtani anamwaga sera hapa......
asante kwa somo mtani. noted
 
Last edited by a moderator:
Asante nawe mtani...
Huyo ndugu yangu utamuona asubuhi hapa.
Mie ngoja niweke mbavu zangu juu ya hili godoro la sufi...

mlongo wangu snowhite come this way mtani anamwaga sera hapa......
asante kwa somo mtani. noted
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom