soul provider
JF-Expert Member
- Jun 21, 2014
- 1,353
- 2,187
Tatzo ukidate na Older women ni ngumu sana kujiachia, hata zile outing inabidi zifanyike usiku tena kwa siri sana
Nikahisi umoMimi sipo huko mkuu ila nimeongelea tu uhalisia uliopo huku uswahilini.
No sipo asee. Mimi napenda mabinti kama wewe.Nikahisi umo
Asilimia 110%
Sawa mkubwaNo sipo asee. Mimi napenda mabinti kama wewe.
Kwahiyo sa?Sawa mkubwa
[emoji38]kwahyo sasaKwahiyo sa?
Fanya mafeke basi![emoji38]kwahyo sasa
Unataka ku date nae ?
On it jiandaeFanya mafeke basi!
Vijana karibuni ila nikifa kesi yako
Yente. Nasubiri fyadee 📧On it jiandae
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Kama mchawi vile.Mlienda shule kusomea ujinga[emoji23]