Ni ngumu Sana kupunguza uzito, program ya kupunguza uzito imeegemea kimateso zaidi, mazoezi muhimu Sana.Kupunguza ni rahisi pia. Kwa Dunia ya leo hakuna kitu kinachoshindikana
Kwanza tuepuke vyakula vinavyoongeza uzito haraka.Ni ngumu Sana kupunguza uzito, program ya kupunguza uzito imeegemea kimateso zaidi, mazoezi mhimu Sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Yeah ni kweli kabisa, kikubwa Ni ulaji sahihi na mazoezi kiasi na maji ya kutosha.Kwanza tuepuke vyakula vinavyoongeza uzito haraka.
Huwezi kusema unafanya mazoezi kila siku ilihali kila siku unakula vyakula vya kuongeza uzito
Nakaa mbagala kugombania tu gari ni mazoezi tosha
Kwanza tuepuke vyakula vinavyoongeza uzito haraka.
Huwezi kusema unafanya mazoezi kila siku ilihali kila siku unakula vyakula vya kuongeza uzito
Gari za Gongo la mboto bila kukimbilia na kugombania huzipandi, si ndio mazoezi yenyewe? Maana kupanda kwake lazima utumie ubavu.Nakaa Mbagala kugombania tu gari ni mazoezi tosha
Mkuu simu yenye app hii unaiweka wapi unavyotembea?View attachment 1439601
Leo asubuhi,am addicted to it...
App inaitwajena unaipakuaje ? naomba elimu hapo