Fisi anapoachiwa Bucha

Jodeo

JF-Expert Member
Mar 10, 2015
1,286
1,328
..usitarijie kukuta hata mfupa
1a9302b6bd9ad1799377759f4f375ccd.jpg
 
Attachments

  • FB_IMG_1497275272678.jpeg
    FB_IMG_1497275272678.jpeg
    33.1 KB · Views: 154
Tuliambiwa kwenye moja ya uzi uliokuwa unaelezea facts za fisi eti akila huwa hajisambazi damu mdomoni na endapo akijisambaza wenzake watamla

Yule jamaa alitupiga fix kweli
 
Tuliambiwa kwenye moja ya uzi uliokuwa unaelezea facts za fisi eti akila huwa hajisambazi damu mdomoni na endapo akijisambaza wenzake watamla

Yule jamaa alitupiga fix kweli
Sio fisi ni mbwa mwitu lakini ni pale mmoja anapokamata nyama na kuipiga peke yake wakati wengine wana njaa ndio wanamshughulikia. Ila ni taarifa zizizo na uthibitisho.
 
ccm katika ubora wao,watakana ili hali dau imewatapakaa mpaka machoni
 
Back
Top Bottom