Viumbe unicorn pekee waliobaki katika ukanda wa bahari. Wanakaa deep water huko na kipindi barafu zinapo yeyoka kuko south pole wanaenda mapumzikoni huko
Wakati ule kuna jongoo kg ilikuwa 40
Wengine 70...sema upatikanaji ulikuwa wa mdg
Na kazi ilikuwa inafanyika kimazabe
Hata oysters(nyamata) tulikuwa tunakusanya
Ile si mboga