FisherPrice Baby Entertainer-50,000/-

FisherPrice Baby Entertainer-50,000/-

Aikaeli

Member
Joined
Aug 8, 2012
Posts
18
Reaction score
0
wapendwa, hii inafanya kazi Kama 'baby walker' isipokuwa yenyewe Ni ya kumfanya mtoto ajifunze kusimama na kum-keep busy maana Ina vimichezo, inafaa kuanzia miezi 4, miguu ikipata nguvu tu. Inakwenda kwa 50,000/- tu, nipigie, SMS, wats app 0686-427618. Picha imezingua ku-upload, wats app me nitakutumia.
 
Back
Top Bottom