Huko Ikungulyabashashi......... Ni nyumbani kwa Nyani Ngabu bila shaka yeye ndo kakudakisha huko Ikungu.
Nimemaanisha nitakuwa huko very soon kukagua apartments zangu so tunaweza kufahamiana.Sijakuelewa atii naomba nieleweshe zaidi.... umesemaaa....!!!
Kapende hivyo vibibi unavyosafisha huko Mtumwa mkubwa wewe!!!! Nyani lilozamia marekani lakini linashinda kwenye viforum vya TZ
Ooh maa ma!
SawaTembea uonee au ujionee.....
Na ukiona lazima utomase kama si kupapasa ili uhakiki kama ni hotel kweli na ina Chef.