The Boss
JF-Expert Member
- Aug 18, 2009
- 49,110
- 115,899
hahahahahah unafikiri udaku...angejua sifa yake angejituliza tu!
ajitulize while wadada wanataka hizo pesa za ushuru wa stendi ya ubungo?lol
na wewe ulithibitisha nini????
hahahahahah unafikiri udaku...angejua sifa yake angejituliza tu!
angekuwa nazo basi hizo mbupu...!
Anaonekana anawasweka mbupu hawa dada zetu kisawasawa!
Nyie bado mko na stendi, machale kweli. Kinje ana miradi kama upupu, ndani na nje ya Tanzania. Michuzi imetulia na ndio katoto pekee ka Mzee.
Mwache ale kwa raha zake, Mzee Kingunge alizipatia taabu hizo neema, hazijaja kwa kufukiziwa ubani na uvumba.
"Kama unaweza, panda juu nenda ukazibe".
Na ww keshakusweka?Nyie bado mko na stendi, machale kweli. Kinje ana miradi kama upupu, ndani na nje ya Tanzania. Michuzi imetulia na ndio katoto pekee ka Mzee.
Mwache ale kwa raha zake, Mzee Kingunge alizipatia taabu hizo neema, hazijaja kwa kufukiziwa ubani na uvumba.
"Kama unaweza, panda juu nenda ukazibe".
Mtoto pekee wa mzee???????ina maana Mpiri amefariki ama au wewe nawe ni mtoto wa Ngombale?
Samahani, sikujua kama Kingunge ana mtoto wa kumzaa mwenyewe zaidi ya Kinje, huyo uliemtaja si waku adopt au wa mkewe? Nijuavyo Kinje ni pekee kwa mama wa kihindi.
Nirekebishe kama naelewa ndivyo sivyo.
Hivi huyu jamaa bado anaendelea kukusanya pesa pale 7/7 na kule kwenye kituo cha mabasi ubungo au?
angekuwa nazo basi hizo mbupu...!
Nyie bado mko na stendi, machale kweli. Kinje ana miradi kama upupu, ndani na nje ya Tanzania. Michuzi imetulia na ndio katoto pekee ka Mzee.
Mwache ale kwa raha zake, Mzee Kingunge alizipatia taabu hizo neema, hazijaja kwa kufukiziwa ubani na uvumba.
"Kama unaweza, panda juu nenda ukazibe".
huyu jamaa na yule mshkaji wake mwenye ile Mafian pub kule Maskai naskia sio rizki ni kweli?
ff na wewe habari hizi sio level zako kabisa...
unajishusha hapa...rudi kule kwenye habari zenyewe...
Nyie bado mko na stendi, machale kweli. Kinje ana miradi kama upupu, ndani na nje ya Tanzania. Michuzi imetulia na ndio katoto pekee ka Mzee.
Mwache ale kwa raha zake, Mzee Kingunge alizipatia taabu hizo neema, hazijaja kwa kufukiziwa ubani na uvumba.
"Kama unaweza, panda juu nenda ukazibe".
Samahani, sikujua kama Kingunge ana mtoto wa kumzaa mwenyewe zaidi ya Kinje, huyo uliemtaja si waku adopt au wa mkewe? Nijuavyo Kinje ni pekee kwa mama wa kihindi.
Nirekebishe kama naelewa ndivyo sivyo.
Alishanyanganywa!jamaa na mtoto wa daniel yona walifisadi sana rasilimali zetu!hawa ni ma mission town balaa
omary kimbau????? Acheni ujinga nyie, yule kamchakaza daddangu, litoto copy right. Alikataa mimba, tumelea wenyewe leo anajidai anakuja kutulamba miguu
Na ww keshakusweka?