Mzalendo80 JF-Expert Member Oct 30, 2010 2,508 1,338 Nov 5, 2010 #1 Fisadi Kikwete aliposema hivyo alikuwa yupo sawa au ni kuidharau Jamii? Na kama ameidharau jamii je anafaa kuwa kiongozi wakati huko nyuma alishawahikuwa fisadi na bado ataendeleza ufisadi maana ukiwa mwizi huweiz kuacha wizi hata kalamu utaiba tu
Fisadi Kikwete aliposema hivyo alikuwa yupo sawa au ni kuidharau Jamii? Na kama ameidharau jamii je anafaa kuwa kiongozi wakati huko nyuma alishawahikuwa fisadi na bado ataendeleza ufisadi maana ukiwa mwizi huweiz kuacha wizi hata kalamu utaiba tu
D dotto JF-Expert Member Sep 29, 2010 1,725 255 Nov 5, 2010 #2 Hajawahi kuwa kiongozi bora ni bora mtawala
N nkosiyamakosini Member Nov 4, 2010 83 2 Nov 5, 2010 #3 sina uhakika, nadhani mmechakachua alivyosema jk, kama walivyowahi chakachua chama cha wafanyakazi. thanks
sina uhakika, nadhani mmechakachua alivyosema jk, kama walivyowahi chakachua chama cha wafanyakazi. thanks
Easymutant R I P Jun 3, 2010 2,564 1,129 Nov 5, 2010 #4 nkosiyamakosini said: sina uhakika, nadhani mmechakachua alivyosema jk, kama walivyowahi chakachua chama cha wafanyakazi. thanks Click to expand... nkosiyamakosini Member Join Date Thu Nov 2010 Posts 17 Thanks 0 Thanked 0 Times in 0 PostsRep Power 0 SIKUSHANGAI
nkosiyamakosini said: sina uhakika, nadhani mmechakachua alivyosema jk, kama walivyowahi chakachua chama cha wafanyakazi. thanks Click to expand... nkosiyamakosini Member Join Date Thu Nov 2010 Posts 17 Thanks 0 Thanked 0 Times in 0 PostsRep Power 0 SIKUSHANGAI
Mungi JF Gold Member Sep 23, 2010 16,975 9,566 Nov 5, 2010 #5 Hivi Kikwete mwenyewe yupo Salama? ninawasiwasi na afya yake. Lakini siwezi sema ni Kiherehere chake.
Hivi Kikwete mwenyewe yupo Salama? ninawasiwasi na afya yake. Lakini siwezi sema ni Kiherehere chake.
Kiherehere JF-Expert Member Nov 1, 2010 1,806 621 Nov 5, 2010 #6 yeye mwenyewe ana KIHEREHERE, maana anao, kautoa kwa demu wa lyumba