Elections 2010 Fisadi Kikwete aliposema watu walioathirika na HIV ni kiherehere chao

Mzalendo80

JF-Expert Member
Oct 30, 2010
2,508
1,337
Fisadi Kikwete aliposema hivyo alikuwa yupo sawa au ni kuidharau Jamii? Na kama ameidharau jamii je anafaa kuwa kiongozi wakati huko nyuma alishawahikuwa fisadi na bado ataendeleza ufisadi maana ukiwa mwizi huweiz kuacha wizi hata kalamu utaiba tu
 
Hivi Kikwete mwenyewe yupo Salama? ninawasiwasi na afya yake. Lakini siwezi sema ni Kiherehere chake.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom