Fisadi alipanga kupitisha shehena ya mihadarati siku ya kusafiri mtoto wa Mengi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Fisadi alipanga kupitisha shehena ya mihadarati siku ya kusafiri mtoto wa Mengi

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Zak Malang, Oct 17, 2010.

 1. Zak Malang

  Zak Malang JF-Expert Member

  #1
  Oct 17, 2010
  Joined: Dec 30, 2008
  Messages: 5,410
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  [FONT=&quot] [/FONT]
  [FONT=&quot]
  [/FONT]

  [FONT=&quot] [/FONT]
  [FONT=&quot]Wadau:[/FONT]
  [FONT=&quot] [/FONT]
  [FONT=&quot]Nimeipata hii kutoka ndani kabisa katika duru zangu za kuweka sikio langu ardhini.[/FONT]
  [FONT=&quot]
  [/FONT]

  [FONT=&quot]Siku ile ambayo motto wa Mengi ilikuwa asafiri, fisadi huyo alikuwa amepanga kusafirisha, kupitia hapo hapo uwanja wa ndege wa Dsm, shehena kubwa ya mihadarati.[/FONT]
  [FONT=&quot] [/FONT]
  [FONT=&quot]Mbinu ni kupotezesha lengo na pia kuua ndege wawili kwa jiwe moja – yaani kumchafua Mengi ile mbaya nay eye (fisadi huyo) kusafirisha ‘mzigo’ wa msimamo katika jitihada za kurudisha fedha zeke alizochangia kampeni za CCM.[/FONT]
  [FONT=&quot] [/FONT]
  [FONT=&quot]Hii ni mbinu inayotumiwa sana na hawa drug traffickers – kumbambikiziwa mtu mihadarati ili wao wapitishe siku hiyo hiyo. Mara nyingine huwa wanatoa ripoti (tip) kwa polisi ambayo ni ya uwongo, kwamba fulani anayesafiri siku fulani anabeba mihadarati, kitu ambacho si kweli, lakini madhumuni ni kwamba polisi na maafisa waelekeze jitihada za ukaguzi kwa huyo aliyeripotiwa huku mwenye mihadarati akipita airport bila vikwazo. [/FONT]
  [FONT=&quot] [/FONT]
  [FONT=&quot]Hadi sasa bado haijafahamika iwapo mihadarati ya fisadi huyo ilisafirishwa siku hiyo kutokana na motto wa Mengi kuvunja safari.[/FONT]
   
 2. u

  urasa JF-Expert Member

  #2
  Oct 17, 2010
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 435
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Tuendelee kumtaja kwa jina hadi watu wote wamjue,mfadhri mkuu wa yanga,ni mfadhiri asiyetaka timu imtangazie biashara zake,wenyewe mnaona england,wafadhiri na wadhamini wote wananufaika na matangazo ya biashara kupitia hizo timu,standard charter na liverpool yao,aon na man u yao,wew manji na yanga kunani?
   
Loading...