First year wote wa 2015/2016 UDOM tukutane hapa

First year wote wa 2015/2016 UDOM tukutane hapa

dogo amechaguliwa bsc in phys...hv ategemee msuli gani hapo udom pia vipi kuhus ajira ya hiyo kozi...
?
 
Wakuu Mliopo Udom Hapo Vip Kuhusu Utaratibu Wa Kuhamia Hapo?..Is It Possble Kwel?...Nngependa Kuhamia Hapo, Software Engineering..Nmechaguliwa Mechanical Eng St Joseph Dar
 
wale wenzangu wa tele tutafutane 0718163254
 
Wale Wa Coes,karibuni Sana,bt Kwa Wa ME &MMPE mtakutana na o.mdee msiogope maana anamachejo xana,all de bext!
 
Dah braza kikoozi unazingua. Sio ishu wala nn km vp we kistaarab tu kauka kaa kmy.!
 
Ila hiyo mdau inaosema chuo cha kata na kudharau wenginr sio mpango wala nn
Wadau tuliochaguliwa tukapige msuli tutimize malengi, tusisikilize majungu ya watu,
BAGEN
 
Back
Top Bottom