first year wa marian university.. tujuane

Hiki ni chuo kipya mkuu? Sijawahi kukisikia , kiko eneo gani
 
Mmh Hiki ni chuo kipya? Mbona hatukifahamu. Mleta mada embu fafanua kidogo, ili tukifahamu hicho chuo cha Marian?
 
Mmh Hiki ni chuo kipya? Mbona hatukifahamu. Mleta mada embu fafanua kidogo, ili tukifahamu hicho chuo cha Marian?
kipo bagamoyo ni constituent ya st.agustine...kina coz za Bed in science kwa masomo ya chem,maths,grog,phyiscs,bios na geog...pia masomo ya Ict wanatoa..then na short courses za certificate na diploma wanatoa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…