majuto mperungu01
Senior Member
- Aug 29, 2012
- 115
- 21
Duh, at least hawa bodi wamenipa matumaini mtoto wa mkulima, nilkuwa nawaza nitaishi vp pale UDOM iwapo wakichelewesha boom.
angalia mtoto wa mkulima hela yenyewe kama ina majini haikai mfukoni kabisa ulipe ada kabla hujafanya chochote
kwa kawaida wasomi hufikiri zaidi ya hapo, lakini kwa kuwa ni kundi la watalii watafanya hivyo!Mlimani city sub-hoofer ya nguvu, nyingine Fiesta...Period!
wakumbuke pia siku moja wataanza kufanya marejesho maana tuendako kukwepa hakupo maana moja ya kazi ya vitambulisho vya taifa itakuwa ni hiyo kukutambua uko wapi na unafanya nini na Bodi watakuwa na uhalali wa kupata hizo taarifa na kuzitumia kwa ajili ya kuandaa mpango wa marejesho.Ikiwa ni siku chache tu tangu waanze usajili, wanafunzi wa mwaka wa kwanza UDSM leo wamepewa boom,huku wengi wakifurahia utaratibu mzuri wa UDSM kwa kupewa boom haraka.
Tunawaasa matumizi mazuri ya fedha hizo!
Unazijua bei za mlimani city wewe?Hela ya bodi haitoshi kununua mziki pale mlimani city labda mtu aamue kulala na njaa na bado itabidi aongezee nyingine.
kwa kawaida wasomi hufikiri zaidi ya hapo, lakini kwa kuwa ni kundi la watalii watafanya hivyo!
kwa wale watoto wa mkulima jibane ikibaki twende vijijini kwetu tukanunue walau bati tukijiandaa kurudi huko maana siku hizi mjini kama huna shughuli utakimbia mwenyewe, hivyo tujiandalie makazi vijijini maana ndipo zilipo fursa!
ukifanya hivyo ndani ya miaka mitatu utakuwa walau chumba kimoja cha tofali kilichoezekwa kwa bati.nawatakia masomo mema
Duh, at least hawa bodi wamenipa matumaini mtoto wa mkulima, nilkuwa nawaza nitaishi vp pale UDOM iwapo wakichelewesha boom.
ndio tatizo la kusimuliwa hilo, kwa hiyo subufa inayouzwa laki na nusu kariakoo mliman city laki 4?, hebu kanye ulale!
Mkuu wewe ndio umeingia mjini hivi karibuni?subufa ndio nini?
Anaeingi mjini kutoka bush utamjua tu.
kuna tofauti kubwa kati ya udsm na udom.pale udom,mpaka kwanza wakina mlacha wakazichakachue ndio mpewe,na muda huo itakua ishafika december kuelekea january!
kwa kawaida wasomi hufikiri zaidi ya hapo, lakini kwa kuwa ni kundi la watalii watafanya hivyo!
kwa wale watoto wa mkulima jibane ikibaki twende vijijini kwetu tukanunue walau bati tukijiandaa kurudi huko maana siku hizi mjini kama huna shughuli utakimbia mwenyewe, hivyo tujiandalie makazi vijijini maana ndipo zilipo fursa!
ukifanya hivyo ndani ya miaka mitatu utakuwa walau chumba kimoja cha tofali kilichoezekwa kwa bati.nawatakia masomo mema
Dah huo utaratibu wa kupew mkonon cjaupenda xana
Ikiwa ni siku chache tu tangu waanze usajili, wanafunzi wa mwaka wa kwanza UDSM leo wamepewa boom,huku wengi wakifurahia utaratibu mzuri wa UDSM kwa kupewa boom haraka.
Tunawaasa matumizi mazuri ya fedha hizo!
two months meals and accomodation Tsh.463,000/=
books and stationery 200,000.
Total unapewa 663,000/=cash mkononi.
Sasa leo nenda kawahoji Utendaji wa Serikalii wanauonaje .Ikiwa ni siku chache tu tangu waanze usajili, wanafunzi wa mwaka wa kwanza UDSM leo wamepewa boom,huku wengi wakifurahia utaratibu mzuri wa UDSM kwa kupewa boom haraka.
Tunawaasa matumizi mazuri ya fedha hizo!