first time in town

kuna siku kuna jamaa mgeni alikata gogo katika yale masink ya kunawia mikono pale airport,loo waliitwa polisi na maofisa usalama,alitandikwa na deki kupigishwa,kazi kwelikweli.
 
watu8 ndo nimepata nafasi tena kupanda juu ya mti kutafuta network
Mi mzima mkuu naendelea vyema Excellent habari za siku mkuu
Naona wanakukumbusha ulivyoingia mjini bana
Niko porini kijijini bana networkkwa mafungu aise
 
Last edited by a moderator:

basi wananisumbua acha tu,niliingia mjini mshamba ila sasa nisije nikawakimbiza mkuu Mr Rocky
 
Last edited by a moderator:
kuna siku kuna jamaa mgeni alikata gogo katika yale masink ya kunawia mikono pale airport,loo waliitwa polisi na maofisa usalama,alitandikwa na deki kupigishwa,kazi kwelikweli.
airport ya dubai lazima zile za kunawa mikono ujifanye huna haraka uwachungulie wenzako wanafanyaje
 
Mkuu Excellent za Dubai ni balaa lazima uangalie wenzako wanafanya nini sio kuparamia unaweza pata Aibu aise
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Excellent za Dubai ni balaa lazima uangalie wenzako wanafanya nini sio kuparamia unaweza pata Aibu aise
ila ukiwa mshamba Mr Rocky si mbaya...mshamba mjanja anasoma mazingira,wanaoaibika wale wanaojifanya wanajua
 
Last edited by a moderator:
ila ukiwa mshamba Mr Rocky si mbaya...mshamba mjanja anasoma mazingira,wanaoaibika wale wanaojifanya wanajua

Kweli mkuu Excellent unajifanya mshamba kuangalia watu watafanya nini na then wewe unaiga sio kujifanya unajua na unaishia kuumbuka kwa aibu
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…