Mm Ardhi inagoma kuingia kwenye account vyuo viwili simo nimebakiza Ardhi pekee inaonekana ushindani umekuwa mkubwa sana div two si lolote sasa hivi madogo hawamo kabisa