First presidential debate: Hillary Clinton Wins

Trump nadhani zile kauli zake za kukurupuka zitachangia kwa kiasi kikubwa kushindwa uraisi.
 
Hahahaha ivi mlitegemea Clinton news network watoe nin,? Nway 47days left to vote
 
Hilary will just go with the current flow, hana authority, ila Trump is aggresive na anaonekana yeye ndo shot caller!
Trump is a con artist. Even his own party members know, he is not a serious guy.
 
Ukimsikiliza Hilary, utagundua kabisa yule mama alivyo na siasa za point and not pointless ukimlinganisha na Trump jinsi alivyo mzee wa kupanic.
Kwa mtazamo wangu, Trump akimuita hawara wa Bill wa zamani kwa ninajili ya kumdhoofisha Hilary, hapo atakua anajishusha sana kwa wenye akili watamuona kana kwamba Trump hawezi siasa zaidi ya mipasho na kutumia fedheha kama silaha.
Cha kushangaza sijasikia Hilary akitamka ama kutishia kuwaalika wake zake Trump kwenye mdahalo ama akiwa taja popote kwenye kampeni, kama njia ya kumdhoofisha Trump.
Hilary anafanya siasa za kistaarabu sana niki mlinganisha na Trump anae onekana kupenda sana kushangiliwa kwa style yake ya siasa taka na kuchafuana.
 
mdahalo kwa wagombea ni ukomavu wa kisiasa, ni vyema nchi za kiafrika likaiga huu utaratibu na kuufanyia kazi
Mkuu...
Mdahalo wa aina hiyo ukifanyika kwenye nchi yangu, tarajia ngumi lazima zipigwe.
Kwa push-up zile..[emoji13] [emoji13]
Mwingine jana eti akatoa tamko kwamba yeye alikua ana nyenyua vyuma wakati mwenzie anapiga push-up....[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
siasa ni usanii 90% na ustaarabu 10%.
 
Clinton Rais over mama ana point sana za kumuangamiza mpinzani wake Clinton family nadhani baadae mtoto wao atakuja kuwa Rais maana kama wapinzani ndio vichwa kama Trump...
 
Which new path would Trump lead them?
Isolation?
Nuclear War?
Economic recession bcoz of failure of Trump's trickle down theory?
 
Hahahaha ivi mlitegemea Clinton news network watoe nin,? Nway 47days left to vote
hivi uliangalia mdhaharo? kusema ukweli kama ulitazama hakika utaamini CLINTON ni moto wa kuotea mbali.
Na kama TRUMP atashinda kiti cha URAIS basi dunia itakuwa si sehemu salama pakuishi kabisa hakika wamarekani wenye akili hawawezi mpigia kura Trump.

kuna sehemu Trump alisema Marekani imekuwa polisi wadunia inajitoa kulinda kila nchi lakini haipati chochote yeye anataka wakitoa misaada yoyote hasa ya kiusalama lazima wapate return... sasa ukiangalia hiyo statement ya Trump kwa haraka unaweza fikiri ni nzuri sanan hasa kwa marekani lakini ni mabaya sana maana itavunja ushirika na umoja wa marekani na mataifa mengine na kwa misingi hiyo kuna mataifa hasa ya afrika kama yatataka kusaidiwa na marekani itabidi wawe tayari kulipa fadhila sasa hii si nzuri kwa nchi masikini kama za afrika,,,,. kama kuna mtu alitazama huu mjadala live basi nitamshangaa kumshangilia Trump...

kuna madhaifu sana Trump ameyaonesha lakini wengi hapa hamkutazama kwa hiyo ni vigumu kuwa na mjadala mzuri.
Kwakweli Bi Clinton yuko vizuri...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…