HahahaHii inaonesha kwamba ccm mmekoswa hoja na hamna Sera hadi mmebakia kuulizia first lady.
Sent from my VFD 301 using JamiiForums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]First lady atoke wapi? Lissu ikulu akafanye Nini? Au mnadhani sheli pale..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
nimeongea kwa hasira .
Wagombea wa Viti vya Uraisi mpaka hata wakati mwingine Ubunge hujitokeza hadharani na wake zao, mbona mgombea chadema Tundu Lisu Mke wake hatumjui na wala hajawahi kutoka naye kwenye matukio muhimu tukamjua ,,future first lady''?
View attachment 1549877
Membe na Mke wake
View attachment 1549878
Baadhi ya wanaCCM mna ujinga mwingi asee!
Mko idle hadi mnajadili mambo yanayoshangaza,sasa mke wa mtu unataka kumjua ili iweje?(ambapo kiuhalisia unamjua)
Jana kuna mwenzenu nae kapost hapa eti anasikia raha kuona picha ya Magufuli kuwa gengeni
Joanah my ribs🤣🤣🤣sijaiona hiyo khaa🤣🤣🤣gengeni anafanyajeBaadhi ya wanaCCM mna ujinga mwingi asee!
Mko idle hadi mnajadili mambo yanayoshangaza,sasa mke wa mtu unataka kumjua ili iweje?(ambapo kiuhalisia unamjua)
Jana kuna mwenzenu nae kapost hapa eti anasikia raha kuona picha ya Magufuli kuwa gengeni
Naona alienda kununua nyanyaJoanah my ribs🤣🤣🤣sijaiona hiyo khaa🤣🤣🤣gengeni anafanyaje