First Lady Janet Magufuli

Mama Janet Magufuli ongera sana.Watanzania tulio wengi tulikua tunajua kua wewe ndie 1st Lady wetu.Ongera kwa utulivu wako na haukua kama wale vibiriti ngoma waliokua wanaangaika usiku na mchana kuulazimisha u-1st lady husiowahusu.Lengo lao lilikua kupata nafasi ya kuanzisha visaccos feki ya kupiga dili.Watanzania tumeshtuka,tuwewakataa,tumewakata na tumewachinjilia mbali.Watanzani tumeamini kua kizuri cha jiuza kibaya cha jitembeza.Ongera Mama watanzania tunakupenda sana na Mungu akupe maisha marefu na utumishi mwema katika u-1st lady wako.
Mungu ibariki Tanzania, Mungu ibariki Afrika.
#hapakazitu
 
Wa kulazimisha utamjua tu. Wa mioyo ya watu yuko ulingoni tayari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…