First eleven ya jf

looo....tutajaribu kujitahidi....unaweza kuwa na makisio wachezaji wa timu namba tatu ni kina nani?
hawajatangaza kikosi chao! mpaka sasa waliotangaza kikosi live ni JF tu, macheer leaders wote mtalazimika kuniona siku tatu kabla mpambano wa kwanza, ni muhim sana! nataka kuhakikisha mnaelewa majukumu yenu.
 
well noted
 
nipeni ukocha wa macheerleaders!

ila BURN hata jukwaa la ushangiliaji asiruhusiwe ana midadi sana
 
nipeni nafasi hata kwny kamati ya ufundi.

Mkuu leo nitalala na smile yaani nimecheka hadi basi nijuavyo mm TZ kamati ya ufundi ni unajimu na mambo kama hayo sasa wewe ni kati ya wanakwaya maarufu hapo st Theresa sasa unajimu/ugagula wapi na wapi? Mimi naombeni hata nafasi ya upishi wajameni
 
Lakini nauhakika kwakuwa nimesajiliwa juzi juzi ndio maana sikupewa hiyo 1st 11 lakini nafanya mazoezi najua timu ijayo nitakuwa nina no au hata kubeba Jezi tu.
 
Lakini nauhakika kwakuwa nimesajiliwa juzi juzi ndio maana sikupewa hiyo 1st 11 lakini nafanya mazoezi najua timu ijayo nitakuwa nina no au hata kubeba Jezi tu.

uskonde jibaba, tutakupanga tukikipiga na magazeti ya udaku a.k.a global publisher
 
Unavyo comment utafikiri na wewe uko kwenye hiyo timu.... au wewe ndo akina Kumwembe, au Riki??? maana utafiki umwtajwa!!!!

Hili ni angalizo kwa tunaopenda kukuona unadumu kwenye gemu... Unamkumbuka mchezaji mmoja anaitwa Ole Guna yule mmasai aliechezea United?? Bonge la Sub lakini first eleven hayupo na akala yamini chama hahami. Si unaona akiingia sub mamabo aliyokuwa anafanya. Always from the sub with a decisive goal.

Kaa sub usihame kitakunukia
 
Du hii line-up ni kiboko. Ila nilidhani PakaJimy angefaa kuwa senta fowadi.

The strongest man is he who stands alone
 
gk...mzee mwanakijiji
lb...rutashubanyuma
rb..arsene wenger
cb..kaka kiiza
cb..acid
dm.paka mweusi
lwb..mlalahoi
rwb..EL TORO
cm..malaria sugu
ss..rev masanilo

coach...invisible

referees
mod 1
mod 2

cheer leaders
rose1980
maria rosa
fab
afrodenz
dena ams
first lady
wise lady
preta
mwanajamii
Najua una bifu na mimi kama alivyokuwa Maximo na Kaseja lakini iko siku tu....
 
Back
Top Bottom