First eleven ya jf | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

First eleven ya jf

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by hashycool, Dec 10, 2010.

 1. hashycool

  hashycool JF-Expert Member

  #1
  Dec 10, 2010
  Joined: Oct 2, 2010
  Messages: 5,899
  Likes Received: 442
  Trophy Points: 180
  gk...mzee mwanakijiji
  lb...rutashubanyuma
  rb..arsene wenger
  cb..kaka kiiza
  cb..acid
  dm.paka mweusi
  lwb..mlalahoi
  rwb..EL TORO
  cm..malaria sugu
  ss..rev masanilo


  coach...invisible

  referees
  mod 1
  mod 2


  cheer leaders
  rose1980
  maria rosa
  fab
  afrodenz
  dena ams
  first lady
  wise lady
  preta
  mwanajamii
   
 2. klorokwini

  klorokwini JF-Expert Member

  #2
  Dec 10, 2010
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 8,710
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 135
  dah mkuu umeniweka ubao? nahama timu. nahamia michuzi kwa loan
   
 3. hashycool

  hashycool JF-Expert Member

  #3
  Dec 10, 2010
  Joined: Oct 2, 2010
  Messages: 5,899
  Likes Received: 442
  Trophy Points: 180
  nina wasiwasi na malaria sugu kutufungisha....kama vipi hamalizi 30 za mwanzo
   
 4. Ngalikihinja

  Ngalikihinja JF-Expert Member

  #4
  Dec 10, 2010
  Joined: Sep 1, 2009
  Messages: 16,420
  Likes Received: 3,768
  Trophy Points: 280
  We timu yako si ile ya dawa ambayo ilicheza mechi na magonjwa.......???
   
 5. klorokwini

  klorokwini JF-Expert Member

  #5
  Dec 10, 2010
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 8,710
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 135
  acha niwarm up. hili kocha letu mara linakupiga ban. nizamu ni muhim. na huyo golkeeper mwanakijiji si ataimba mashairi golini huyo?
   
 6. hashycool

  hashycool JF-Expert Member

  #6
  Dec 10, 2010
  Joined: Oct 2, 2010
  Messages: 5,899
  Likes Received: 442
  Trophy Points: 180
  hawa wa mwanzo wamekomalia lakini wengi utaoona wanachemsha dakika za mwanzo....wengi vitambi!
   
 7. klorokwini

  klorokwini JF-Expert Member

  #7
  Dec 10, 2010
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 8,710
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 135
  nilihama baada ya kupigwa bao na mjomba ukimwi.
   
 8. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #8
  Dec 10, 2010
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,046
  Likes Received: 24,047
  Trophy Points: 280
  Daktari wa Timu....: Asprin akiwa huku Martenity Ward
   
 9. hashycool

  hashycool JF-Expert Member

  #9
  Dec 10, 2010
  Joined: Oct 2, 2010
  Messages: 5,899
  Likes Received: 442
  Trophy Points: 180
  aahaaa....natamani kumuona maria roza na kisketi chake akishangilia!!!!
   
 10. klorokwini

  klorokwini JF-Expert Member

  #10
  Dec 10, 2010
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 8,710
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 135
  hehehehe kwa ninavyomuelewa huyu dada anaweza akapandwa na mzuka akavua nguo zote.
   
 11. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #11
  Dec 10, 2010
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,124
  Likes Received: 1,709
  Trophy Points: 280
  Kweli hamnipendi yaani hata ugolikipa mmeninyima, jamani nimekuwa golikipa tangu primary, nkaja secondari zote ordinary na high, nkaenda chuo ya kwanza nkiwa golini, niko chuo ya pili bado nadaka but hapa jamvini mnaninyima hata ureserve? Saweni!
   
 12. klorokwini

  klorokwini JF-Expert Member

  #12
  Dec 10, 2010
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 8,710
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 135
  wewe utafua jezi baada ya mechi.
   
 13. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #13
  Dec 10, 2010
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,180
  Likes Received: 897
  Trophy Points: 280
  hupati namba huko.

  labda uwe fisadi
   
 14. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #14
  Dec 10, 2010
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  nipeni nafasi hata kwny kamati ya ufundi.
   
 15. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #15
  Dec 10, 2010
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Unaweza ondoa jina langu? Thanks
   
 16. Deodat

  Deodat JF-Expert Member

  #16
  Dec 10, 2010
  Joined: Sep 18, 2008
  Messages: 1,279
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145

  Aliyepanga timu nina mashaka naye, yaani Malaria sugu apate namba Paka Jimmy akose, mmh! kuna namna hapa!

  Mie nitabeba jezi za wachezaji wote isipokuwa ya Malaria sugu manake nina wasiwasi atadaka mpira makusudi ndani ya kumi na nane ili tupigwe penalty!
   
 17. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #17
  Dec 10, 2010
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 145
  Mpwa yaani wewe upo sambamba na MS duh
   
 18. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #18
  Dec 10, 2010
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Nimeliona hilo! Na nimeisha ripoti kwa MOD kwi kwi kwi kwi
   
 19. Deodat

  Deodat JF-Expert Member

  #19
  Dec 10, 2010
  Joined: Sep 18, 2008
  Messages: 1,279
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145


  Ha ha ha! mchungaji hutaki kuongoza safu ya mashambulizi ukisaidiana na Malaria sugu....ha ha ha, wewe bwana ubaki tu na title yako ya JF peace prize winner inatosha, kujihusisha na hizi timu ambazo hata malaria sugu yumo, itashusha sana karama yako ya kichungaji na baadae kondoo wanaweza kukukimbia.
   
 20. NewDawnTz

  NewDawnTz JF-Expert Member

  #20
  Dec 10, 2010
  Joined: Nov 15, 2010
  Messages: 1,675
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0

  NYONGEZA KWENYE USHANGILIAJI................PRETA kiongozi wa mikakati ya ushingiliaji

  Pia kamati ya "Ufundi" .....Dar-es-Salaam na "ThinkTwice"
   
Loading...