First Date

First Date

Ha ha ha ulikuwa wapi siku zote hizi kutoa hii kitu?Safi sana jamaa katumia akili yake vizuri
Mzee ulishakutana na kitu inakaribiana na hii nini? Next time fanya kama jamaa Hah hah
 
Hapo sio ngoma droo Dume la mbegu limeshinda mpambano,sababu kavunja amri ya 6 bure na $5 ya juu.bnafsi kuna demu m1 uswazi alinitangazia kuwa hatonipa uroda kwa Tsh akawa anataka dola lkn yy hajawahi kuiona basi nikamtandika na $Zimbabwe,mpaka leo ananiangalia kwa jcho la husuda
Hiyo kali maana kuna mshikaji mmoja alikuja toka Zim akafanya kama hayo pale mitaa ya Jolies. Inafurahisha maana hawa dada zetu wajanja mdomoni tu!
 
Back
Top Bottom