First couple's NY date: a campaign promise kept

Obama hapa amewapa dongo Republicans ambalo nina uhakika watalitumia katika ads zao za uchaguzi wa senators 2010 na hata katika uchaguzi wa 2012. Wataquantify total amount ya taxpayers money ambayo Obama aliitumia katika hiyo date na first lady huku 'uchumi wa nchi ukiwa katika hali mbaya' na wananchi wengi hawana kazi na wamepoteza nyumba zao.

- Republicans wametumia hela ngapi Iraq na kuuwa wananchi wangapi bila sababu na vita isiyokuwa na justifications, kwani rais hana maisha, si anayo bajeti ya kustarehe kama amechukua hela dola $ 24,000 za shughuli nyingine muhimu za taifa na kwenda kujistarehesha na mkewe NY hapo kweli, lakini kama zipo kwenye bajeti yake ya mwaka, hakuna ishu hapo,

- Obama anajaribu kuondoa ile jela ya marais wa US ya kujifungia White house too, ndio maana majuzi alijimwaga kwenye fast food kule Viriginia na kusimama foleni kama wengine wote na kukaa chini na kula na wananchi wengin e wa kawaida that is wasup!

- Kina Kikwete wajifunze nao hapo kuepeleka wake zao kwenye cinema au play kama sio Ze-comedy, saafi sana!

Respect.

FMEs!
 
Back
Top Bottom