First class mistake wanawake mnafanya kwenye mahusiano

Mukulu wa Bakulu

JF-Expert Member
Aug 12, 2014
4,052
12,906
Naomba niwashauri wanawake jambo moja kuhusu mahusiano haya mahusiano ya kudumu yanayopelekea ndoa au kuoana.

Najua wanawake hua hamuwezi kutenganisha hisia zenu na upendo wenu kwa aatu mnaowapenda. Mkimpenda mtu mnaweka hisia zenu zote na upendo wenu wote kwake.

Naomba niwashauri kitu, olewa au kua na mahusiano na mwanaume anaekupenda na sio unaempenda. Ukiwa na mwanaume unaempenda utamfanya utakavyo, atafanya utakavyo. Mwanaume anaekupenda atafanya kila kitu unachokitaka ili tu uendelee kua nae.

Kosa kubwa mnalolifanya ni kutaka kua au kuolewa na wanaume mnaowapenda ninyi, mwanamke ukishampenda mwanaume basi umaamini kua na yeye anakupenda kama unavyompenda wewe na anawaza kama unavyowaza wewe.

Wanawake msipotambua hilo, wanaume wataendelea tu kuchezea hisia zenu.
 
Ulivoona umechoka kuwaumiza ndio ukaona uwashauri ety?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nadhani hii sio mistake.. bali ni indefference.
Sababu uliwaambia wanawake wasimpende mwanaume halafu mwanaume ndio awapende wataendana unakosea sana yaani.

Hapo mahusiano yataelemea upande mmoja, na shida ya hawa wenzetu wakijua wanapendwa vituko vinaanzia hapo.. mwanaume lazima akome. Ni wachache wanao tulia.
Mahusiano lazima kuwe kuna balancing moja amaizing.

So either way mwanaume ampende mwanamke au mwanamke ampende mwanaume. Mwisho wa siku swali litabaki uliyenaye ni kweli ana interest na ww au lah?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naomba niwashauri wanawake jambo moja kuhusu mahusiano haya mahusiano ya kudumu yanayopelekea ndoa au kuoana.

Najua wanawake hua hamuwezi kutenganisha hisia zenu na upendo wenu kwa aatu mnaowapenda. Mkimpenda mtu mnaweka hisia zenu zote na upendo wenu wote kwake.

Naomba niwashauri kitu, olewa au kua na mahusiano na mwanaume anaekupenda na sio unaempenda. Ukiwa na mwanaume unaempenda utamfanya utakavyo, atafanya utakavyo. Mwanaume anaekupenda atafanya kila kitu unachokitaka ili tu uendelee kua nae.

Kosa kubwa mnalolifanya ni kutaka kua au kuolewa na wanaume mnaowapenda ninyi, mwanamke ukishampenda mwanaume basi umaamini kua na yeye anakupenda kama unavyompenda wewe na anawaza kama unavyowaza wewe.

Wanawake msipotambua hilo, wanaume wataendelea tu kuchezea hisia zenu.
Lost lost ID

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa yule mwanaume atakaependwa na mwanamke ambae ameolewa na asiempemda atakuwa anafanya nini na huyu mwanamke ambae ameolewa na mwengine?
 
Naomba niwashauri wanawake jambo moja kuhusu mahusiano haya mahusiano ya kudumu yanayopelekea ndoa au kuoana.

Najua wanawake hua hamuwezi kutenganisha hisia zenu na upendo wenu kwa aatu mnaowapenda. Mkimpenda mtu mnaweka hisia zenu zote na upendo wenu wote kwake.

Naomba niwashauri kitu, olewa au kua na mahusiano na mwanaume anaekupenda na sio unaempenda. Ukiwa na mwanaume unaempenda utamfanya utakavyo, atafanya utakavyo. Mwanaume anaekupenda atafanya kila kitu unachokitaka ili tu uendelee kua nae.

Kosa kubwa mnalolifanya ni kutaka kua au kuolewa na wanaume mnaowapenda ninyi, mwanamke ukishampenda mwanaume basi umaamini kua na yeye anakupenda kama unavyompenda wewe na anawaza kama unavyowaza wewe.

Wanawake msipotambua hilo, wanaume wataendelea tu kuchezea hisia zenu.
We wadanganye tu wenzako, mapenzi hayana kanuni!! Kumbuka, ukitoa mbinu za kudili na jambazi hadharani ujue jambazi nae anazisoma!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapo mahusiano yataelemea upande mmoja, na shida ya hawa wenzetu wakijua wanapendwa vituko vinaanzia hapo.. mwanaume lazima akome. Ni wachache wanao tulia.
Mwanamke wangu alivyojua nampenda vituko haviishi, siku hizi hanitafuti mpaka nianze mimi
 
Naomba niwashauri wanawake jambo moja kuhusu mahusiano haya mahusiano ya kudumu yanayopelekea ndoa au kuoana.

Najua wanawake hua hamuwezi kutenganisha hisia zenu na upendo wenu kwa aatu mnaowapenda. Mkimpenda mtu mnaweka hisia zenu zote na upendo wenu wote kwake.

Naomba niwashauri kitu, olewa au kua na mahusiano na mwanaume anaekupenda na sio unaempenda. Ukiwa na mwanaume unaempenda utamfanya utakavyo, atafanya utakavyo. Mwanaume anaekupenda atafanya kila kitu unachokitaka ili tu uendelee kua nae.

Kosa kubwa mnalolifanya ni kutaka kua au kuolewa na wanaume mnaowapenda ninyi, mwanamke ukishampenda mwanaume basi umaamini kua na yeye anakupenda kama unavyompenda wewe na anawaza kama unavyowaza wewe.

Wanawake msipotambua hilo, wanaume wataendelea tu kuchezea hisia zenu.
Umeongea point sana lakini ndugu huyo mwanaume wa namna hiyo hayupo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom