First born anapokuwa last born

Je mtoto wa kwanza akifariki akiwa Mdogo tu itaathiri vipi wadogo zake!?
 
Mi nna mdogo wangu ni smart, handsome ana akili sanaa kuliko mimi, sija wahi ata mind, kwanza ndo namuombea afanikiwe zaid, pia na mi nakazana ki juhud zangu, halaf nafurah ata member wa familia mmoja atusue na wazaz wafurahi, pia naamini kutangulia kuzaliwa si kigezo cha mimi kuumia wenzangu wakifanikiwa, rizki mpaji ni Mungu, ni mtu mwenyewe tuu na attitude yake adi kujiua apo kazid
 
Yesu alikuwa first born kwa Maria.. Mafanikio yake yanafahamika vizuri... Musa pia vivyo hivyo kwa mama yake...
Wachina na ile sheria yao ya mtoto mmoja hiyo vita ya shetani imewapitia pembeni? Maana wanafanikiwa na uchumi wao unakua spidi..
Well,its open for discussion.Wewe kaka yako vp?
 
Mara nyingi first born hufa vifo vya ghafla.....

Au pale wanapoanza kufanikiwa unashangaa anapoteza maisha ghafla, aidha kwa ajali isiyotarajiwa, maradhi ya muda mfupi n.k
Mkuu usiguse mafanikio yenyewe nahisi kuyanusa nawe unaanza kufa kufa tu kwa first born!!!
 

Na kuongezea hata wakati wana wa Israeli walipokuwa wakidai kurudi kwao ,farao kibri kilimtoka baada ya kifo cha mtoto wake wa kwanza kama ikiwa ni adhabu kwa kuufanya moyo wake kuwa mgumu.
 
Tafuta kitabu kilicho andikwa na Mwal.Christopher Mwakasege. Ameeleza mambo mengi yahusuyo mzaliwa wa kwanza na changamoto zake.

Kiufupi mzaliwa wa kwanza ndio lango la familia MUNGU analiangalia kupitisha baraka zake na shetani naye analiangalia apitishe mambo yake.

Tafuta hicho kitabu ujifunze, usisome kwa mlengo wa dini ila soma kwa maana ya kujifunza.
 
Na kuongezea hata wakati wana wa Israeli walipokuwa wakidai kurudi kwao ,farao kibri kilimtoka baada ya kifo cha mtoto wake wa kwanza kama ikiwa ni adhabu kwa kuufanya moyo wake kuwa mgumu.
Unaona sasa!Na sio mtoto wa kwanza wa farao tu,na wamisri wenzake walikufa watoto wao wa kwanza wote!walitolewa kafara kwa kiburi cha mtu mmoja! Inabidi kuwaombea kila siku na kuwapa kipaumbele katika maombi.Maana wanakabiliana na vita kali sana wasiyoijua
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…