Labda ufanye reversing mwenyewe kwa kutumia JTAG interface, vinginevyo hicho kitu nafikiri hakiwezekani sababu inawapa Room hackers ku analyse hizo firmware na kuja na mbinu ya kuwachakachua!
Sidhani kama DSTV wamelala kiasi hicho kuweza kukupa firmware yao,ningeshauri kama una damaged device uwacheki labda wana utaratibu wa kuzitibu wao wenyewe au kukubadilishia