Fire brigade

Fire brigade

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
376,459
Reaction score
872,116
1417107273716.jpg
 
Kwa balabala zipi basi gari ya zimamoto iweze kupita?,tumejenga hadi bodaboda shida kupita...
 
Mkiwa mnaendelea kuwasubiri jamaa bora kujitolea kuanza zoezi wenyewe, ukiwategemea sana jamaa wanaweza kuja hapo kisha wakakuambia maji hawana
 
Mkiwa mnaendelea kuwasubiri jamaa bora kujitolea kuanza zoezi wenyewe, ukiwategemea sana jamaa wanaweza kuja hapo kisha wakakuambia maji hawana

Kimsingi inatakiwa kila baada ya kilometa zisizozidi 3 kuwe na bomba kubwa la maji kwa dharura kama hizi kwakuwa fire ikibeba maji mengi sana itapunguza speed na accessibility ya kufika eneo la tukio kwakuwa gari itakuwa kubwa sana
 
Kiongozi sisi tumechelewa sana huduma hizi na inakuwa kama hatuoni umuhimu wake, haya tufanye hatufahamu, je bado hatujifunzi kutoka kwa wenzetu?

Wahusika si huwa wanaenda nchi za nje sasa ina maana hawajifunzi au hawaigi maendeleo?

Pesa wanazoiba si bora wangekuwa wanatuboreshea huduma muhimu za afya, nyenzo, usafiri, miundombinu n.k, huku hizo nyingine waendelee kutumbua ingekuwa nafuu kiasi fulani
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom