Finland wanavyothamini waalimu wao

Finland wanavyothamini waalimu wao

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
53,028
Reaction score
104,507
FINLAND NA ELIMU YAO

1. The school system is 100% state funded.

2. All teachers in Finland must have a masters degree, which is fully subsidized.

3. The national curriculum is only broad guidelines.

4. Teachers are selected from the top 10% of graduates.

5. The average starting salary for a Finnish teacher was $29,000 in 2008 Compared with $36,000 in the United States.

7. However, high school teachers with 15 years of experience make 102 percent of what other college graduates make. In the US, this figure is 62%.

8. There is no merit pay for teachers

9. Teachers are effectively given the same status as doctors and lawyers
 
Kigezo chao cha elimu kuwa mwalimu ndio hasa kinachofanya wanathaminika kiasi hicho, hapa kwetu ukifeli ndio kimbilio la mwisho so hatutakuwa na usawa (ukweli mchungu) however bado hatujachelewa tunaweza kuanza upya kwa kutengeneza curriculum ambayo ni bora na inayoendana na mazingira yetu, tuachane na kukopi za wenzetu n kujazana mashudu kichwani...ndiposa tujikite kwenye maslahi ya walimu kwa kuchagua walimu wenye uwezo mkubwa wa ku-impact knowledge vyema kwa watoto as in kigezo kikubwa kiwe ufaulu wa mtu anayeenda kusoma ualimu.
 
Elimu elimu elimu.
Tunahitaji elimu bora kwa faida yetu. Elimu ni investment.
Wazee wanapata shida uzeeni kwa ajilo ya uekezeji Mdogo kwenye elimu.
 
Kama una amini kwenye elimu elimu elimu (Tony Blair, ENL na wengineo) utajua nguzo kuu ya elimu ni mwalimu. Mwalimu akipata heshima yake mengine yanafuata. Huwa najiuliza kwa mfano hizi shule za kata zilizopo mijini kwa nini zina poor performance? Je tuna walimu wanaostahili kuwa walimu? Je tunalipa vizuri walimu wetu?
 
Na wameanzisha LIFE BASED as an APPROACH in teaching and learning
 
Back
Top Bottom