Najaribu kutafakari huyo BodyGud wake atakua anafaidi sana!
Ni bora kuwa na huyo raisi shoga anayewajibika kwa nchi na raia wake kuliko na kuwa na wavaa suruali lakini viwembe, mafisadi, waombaji na wasio na maana yoyote bali janga la taifa.
Washangae sasa,badala ya kushugulikia sheria za nchi ziwabane viongozi kufanya kazi na kuwajibika kwa waliowaweka madarakani kama nchi nyingine wanaangalia tabia ya mtu ambayo hawana hakika kama inapunguza uwezo wake wa kufikiri na kufanya maamuzi...!
Huo ni uamuzi wa watu wa Finland.
Mapema mwezi wa kwanza, Finland iliweka wazi msimamo wake juu ya ushoga na misaada kwa nchi zinazoendelea. Tanzania ni miongoni mwa nchi 37 katika Afrika zinazopinga ushoga.Kwa namna moja au nyingine kuwa kwake kiongozi ina maana yeye ana nafasi pia ya kuja na agenda zake kwetu kama alivyofanya David. Sio Kitu cha kubeza hata kidogo!
Mapema mwezi wa kwanza, Finland iliweka wazi msimamo wake juu ya ushoga na misaada kwa nchi zinazoendelea. Tanzania ni miongoni mwa nchi 37 katika Afrika zinazopinga ushoga.
Zaidi Tanzania imekuwa patna mkubwa wa Finland tokea mwaka 1962, huku mwaka juzi tu ilisaidiwa Euro zaidi ya milioni 30 kwa shughuli mbalimbali za maendeleo
Huyo mgombea ana wake tayali, tazama picha hapo juu. Wapo pamoja kwa zaidi ya miaka 20 sasa! Kimsingi chama cha Green kina msimamo wa David Cameron juu ya misaada kwa nchi zinazopinga ushoga.Afu anakuja hapa anamwambia kaka mkubwa usiponi do nakunyima fweza ha ha haaaaaaaaa kituko hicho!
safi sana..
safi nini sasa!
Kwenye picha kulia ndie mgombea uprez, na kushoto ndie fisrt gay mtarajiwa. Kwa kifupi mgombea uprez ndie kidume na alimchukua huyo jamaa tokea akiwa teenager.Duuh hii dunia ya leo ipo kazi...ni kama jamaa anakabaka au anabakwa na mtoto. Kwani kati ya hao jamaa nani ni nani? I mean who is he and who is she?
kumchagua mtu alie na experience ya kuongoza si nchi tu , alifanya kazi UN pia....
Hongera yake, namuombea ashinde...