Axel Lloyd
JF-Expert Member
- Sep 10, 2017
- 4,170
- 9,502
Rais na Waziri Mkuu wa Finland wameeleza kwamba ni lazima Finland ijiunge na Umoja wa kujihami wa NATO bila kuchelewa.
Nchi hiyo imekua na Sera ya kutoegemea upande wowote Kwa zaidi ya miaka Mia (Karne moja) lakini baada ya uvamizi wa Urusi nchini Ukraine inataka kujiunga NATO kujihakikishia Ulinzi zaidi.