Finland freezing part of its aid to Tanzania | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Finland freezing part of its aid to Tanzania

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by macho_mdiliko, Mar 10, 2008.

 1. macho_mdiliko

  macho_mdiliko JF-Expert Member

  #1
  Mar 10, 2008
  Joined: Mar 10, 2008
  Messages: 6,434
  Likes Received: 2,304
  Trophy Points: 280
  Finland plans to freeze part of the direct budget funding it had planned to give to Tanzania over suspicions of corruption.
  Finland has provided aid to the East African country for decades.
  "The sum to be frozen is two million euros. Another option would be for Finland to pay the sum in two consignments after Finland has been given a more detailed report on the misappropriations", says Keijo Ruokoranta of the Ministry for Foreign Affairs.
  Finland is donating EUR 31 million in aid to Tanzania this year, about half of which involves direct input into the national budget. Now plans are to freeze two million of that amount. Ruokoranta emphasises that the money is not party of Finland's development cooperation funding.
  Two extensive cases of corruption were uncovered in Tanzania this spring. An audit of the country's central bank uncovered discrepancies worth 110 million US dollars, after which President Jakaya Kikwete removed the director of the bank.
  The fraud involved commercial debt accrued in the 1970s and 1980s. At that time Tanzania's economy was in a confused state, and special arrangements were made for imports in order to maintain currency reserves. Some of the old commitments were sold on to dummy corporations. These debts have been paid off gradually from the 1990s.
  Another case involved overcharging for electricity using dummy corporations.

  Ruokoranta says Finland has not received detailed information about those involved in the corruption. "These matters will be discussed in negotiations to be held in Tanzania", he says.
  Tanzania gets monetary support from 11 countries. Finland has taken the most severe line on misuse of the funding. Apparently Germany is the only other country to consider the partial freezing of funds.
  Ruokoranta says that some of the money has been recovered. In any case, Tanzania lost a significant amount of income that could have been used for reducing poverty, for instance.
  The Finnish Foreign Ministry feels that confidence in the administration Tanzania's public finances has suffered considerably, and that possibilities for continued cooperation need to be reassessed.
  Sorce:
  Helsingin Sanomat, Friday, 7.3.2008
  http://www.hs.fi/english/article/Finland+freezing+part+of+its+aid+to+Tanzania/1135234630400
   
 2. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #2
  Mar 10, 2008
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,547
  Likes Received: 81,983
  Trophy Points: 280
  Freeze all aids because Tanzanians do not see any benefits from those aids from rich countries.
   
 3. S

  Siao Member

  #3
  Mar 10, 2008
  Joined: Jan 4, 2008
  Messages: 96
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Haya basi!!!!!!
  Sitashangaa hata kidogo maamuzi haya!

  Ukitaka kufurahi ni pale wala Mafisadi yashangai lolote katika hili!!!

  Kila Fisadi atakufa...!
   
 4. M

  MzalendoHalisi JF-Expert Member

  #4
  Mar 10, 2008
  Joined: Jun 24, 2007
  Messages: 3,868
  Likes Received: 115
  Trophy Points: 160
  Wewe ndoo imetoboka..maji unazidi tu kuweka..watu wanakuambia ndoo imetoboka! Kwani Finland ndo leo wanashtuka kuwa ndo imeshatoboka?

  Muhimu ziba kwanza haya matobo ktk hii ndoo ..ndo uendelee kuweka maji zaidi..period!
   
 5. Lunyungu

  Lunyungu JF-Expert Member

  #5
  Mar 10, 2008
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,836
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  Wa Finish wafanye kweli waokoe maisha ya watanzania.Maana kwa pesa watoazo wanawaua watanzania kwa kweli . Hii ni ngumu kweli kweli.Kila kukicha usanii .Haya wacha waje kukanusha tena tusikie .
   
 6. Me370

  Me370 JF-Expert Member

  #6
  Mar 10, 2008
  Joined: Mar 10, 2008
  Messages: 995
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Hizo hela kidogo. 2 miliion euros. Haitasaidia kufunga mafisadi wala kuwapa pressure watu warudishe hizo hela.
   
 7. Lunyungu

  Lunyungu JF-Expert Member

  #7
  Mar 10, 2008
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,836
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  Una maana gani ? Fafanua mkulu wetu hapa sijaelewa hapo juu
   
 8. Me370

  Me370 JF-Expert Member

  #8
  Mar 10, 2008
  Joined: Mar 10, 2008
  Messages: 995
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Hizo hela kidogo. 2 miliion euros. Haitasaidia kufunga mafisadi wala kuwapa pressure watu warudishe hizo hela.
   
 9. Nzokanhyilu

  Nzokanhyilu JF-Expert Member

  #9
  Mar 10, 2008
  Joined: Feb 19, 2007
  Messages: 1,087
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 0
  Wanatoa 31Mill, wana freeze 2Mill. LOL. Nawenyewe wasanii tu.
   
 10. n

  njoomloli Member

  #10
  Mar 10, 2008
  Joined: Feb 24, 2008
  Messages: 13
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  It doesn't bring sense, such little money will never scare anyone! Fisadi mmoja anaweza kuwa na more than that in the account! Hawezi jali hata mara moja hako ka fedha kakiwa frozen! Kweli jamani - logically hiyo fedha out of 31mil si kitu ati!
   
 11. M

  Masatu JF-Expert Member

  #11
  Mar 10, 2008
  Joined: Jan 29, 2007
  Messages: 3,285
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Wana lao jambo hao Mafinish
   
 12. Mwiba

  Mwiba JF-Expert Member

  #12
  Mar 10, 2008
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 7,606
  Likes Received: 215
  Trophy Points: 160
  Hawa inafaa waandikiwe barua na wawache mchezo kucheza na maisha ya watu kama kweli wanataka kuzuia basi wazui chote mpaka kieleweke ,sasa sijui nani anatishwa Muungwana au Mafisadi ?
   
 13. Mtu Mzima

  Mtu Mzima JF-Expert Member

  #13
  Mar 10, 2008
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 381
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Dharau ikishakomaa nyumbani basi husambaa pembe zote za dunia.
  Hii ni kutukumbusha sasa wakati umefika tuikomboe nchi yetu sisi wenyewe.Tusitegemee wageni,wao wanatoa hizo pesa kwa malengo ya PR na wanasiasa na pia kuwazuga maskini wa Tanzania ili wapate kupenyeza mirija kiulaini.Ikiwa hizo pesa zinatumiwa vizuri au vibaya si kazi yao,wao bora malengo yao yanatimia.
  WADANGANYIKA MMENAWISHWA MAJI YA MOTO BADO MNASINZIA,MAJI YA BARIDI BADO...MAJI YA PILIPILI MNAJIFUTAFUTA KWA KITAMBAA LAKINI BADO HAMTOKI KITANDANI..MNATAKA NINI???????
   
 14. Kibunango

  Kibunango JF-Expert Member

  #14
  Mar 10, 2008
  Joined: Aug 29, 2006
  Messages: 7,635
  Likes Received: 180
  Trophy Points: 160
  Kamanda ni Wafin, na sio Mafinish...
   
 15. Nzokanhyilu

  Nzokanhyilu JF-Expert Member

  #15
  Mar 11, 2008
  Joined: Feb 19, 2007
  Messages: 1,087
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 0
  Labda ni makubwa, siyanatupa mahela? Basi yatakuwa Mafinish,na yatatufinish.
   
 16. K

  Kalamu JF-Expert Member

  #16
  Mar 11, 2008
  Joined: Nov 26, 2006
  Messages: 874
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Hii wana-beep tu Muungwana, kumweleza kuwa mwakani anaweza kuwa na mtihani mzito kupata msaada mwingine kama huo bila ya kuonyesha juhudi.

  Mwakani akienda na kibakuli chake itabidi wamuulize maswali kwanza kuhusu ufisadi wa serikali yake.
   
Loading...