Labda kwa sababu tunawa-spoil sana. Tunawasikiliza. Karibu kila wakitakacho tunawapa. Hatujui kusema hapana (hivi baba utaanzaje kusema hapana binti yako akikuomba umnunulie hereni za almasi?).
Hatutaki wanune. Hatupendi kuwaona hawana furaha. Tunataka muda wote wawe na furaha tu. Tunapenda kuwaona wakiwa wamependeza. Nywele ziko vizuri. Nguo nzuri.
Tunapenda kuona wanafanikiwa katika yote mema watakayo kufanya. Tunajivunia kuwaona wakifanya vizuri shuleni. Tunafarijika tukiwaona wakiwa kwenye mkondo sahihi maishani.
Naweza kuandika kitabu kizima kuhusu kwa nini binti ananipenda kuliko hata maisha yenyewe!
Its true sijui kwanini watoto wa kike wanawapenda sana dady zao na kinyume chake.......
Ni Kweli Mimi pamoja na kutolelewa sana na Baba yangu , Bado ninampenda sana , na utakuta saa nyingine akinijibu majibu ambayo moyo wangu haujaridhika au kuumia ninalia mwenyewe weee mpaka Basi lakini muda si mrefu nitaanza kumzungumzia Baba . Nilishawahi kuambiwa na mama yangu Wa kambo kuwa nina mahusiano ya kimapenzi na Baba yangu Huku akinipiga nikiri kwa kusema ndio . kumbe si Kweli hata siku moja haijawahi na haitowahi. Ni baba yangu na ataendelea kuwa baba yangu .
Mtoto Wa kike kumpenda baba yake si kwa sababu ya material things . Ni natural love that iko ndani Yetu Mungu aliipandikiza ndani yetu , na hii ina maana kubwa ndani yake . Hebu tujaribu kusoma Biblia au Quaran na vitabu vya hadith vya Mtume . Utapata chanzo ya hii love mungu aliyoiweka ndani ya Mtoto Wa kike na baba yake . Wakristo wenzangu jaribu kuisoma biblia vizuri , jibu liko humo. Na hata kwenye Quraan pia na vitabu vya Mtume Mohammed pia jibu limo humo. Kumbuka nilikuwa Muslim so Nina vijua vyote na Madrasa nilienda, so majibu yote yako humo. Asante.. RIP Dady.
kumbe wewe ustadhati bana..safi sana
nimeandika ustadhati mamii...aise safi sana...ila unaweza kurudia ujahidina bana au ulishaapa kabisaMy dear ustadhi si wanaume dear. Mimi ni mwanamke, nilikuwa mjahidina , baada ya kuonja utamu Wa Yesu kwa Kweli acha tuu dear asikuambie MTU bwana kwa Yesu ni Raha Ila binadamu ndio tuna karaha tupu . Asante.
nimeandika ustadhati mamii...aise safi sana...ila unaweza kurudia ujahidina bana au ulishaapa kabisa
Kwa hapa nilipofikia na nikikumbuka nilikotoka duuh Asante Nashukuru sana, dear .
nimekuelewa sana mamii..maaisha yanaweza kubadilika sana..n u seems good person
So touching, daaah kweli inaumiza jmn nimeshindwa kujizuia kutoa chozi , imenikumbusha jinsi my baba alivyokua anaumwa na kupoteza maisha. Rest in peace Mr David
Asante rafikiPole sana
So touching, daaah kweli inaumiza jmn nimeshindwa kujizuia kutoa chozi , imenikumbusha jinsi my baba alivyokua anaumwa na kupoteza maisha. Rest in peace Mr David
Asante sana naona kule umetufungia lol. Kila nikipiga simu naambiwa hakuna network hahahahaha nimejiuliza umepatwa na yapi.Pole sana rafiki, Mwenyezi Mungu amlaze marehemu Baba yetu mahali pema peponi. Salimia jeshi lote mie niko mzima kabisa natumai nawe umesalimika kabisa.
Asante sana naona kule umetufungia lol. Kila nikipiga simu naambiwa hakuna network hahahahaha nimejiuliza umepatwa na yapi.
Hahahahahaha asante nilifikiri huenda wajanja wamekupora simu yako na kubadili line lol. Manake leo kutwa nzima hukua hewani kila nilipopiga niliambiwa no network connection nikajiuliza nakosea wapi mpaka nikamwambia mtu anisomee number kwa upya lkn haikusaidia ikabidi niwe mpole tu.hahahahahaha lol!!!! Pole sana kwa kunikosa, line iko clear sasa hivi karibu sana. Sijui hata kwanini inakuwa hivyo.
Hahahahahaha asante nilifikiri huenda wajanja wamekupora simu yako na kubadili line lol. Manake leo kutwa nzima hukua hewani kila nilipopiga niliambiwa no network connection nikajiuliza nakosea wapi mpaka nikamwambia mtu anisomee number kwa upya lkn haikusaidia ikabidi niwe mpole tu.
nimeandika ustadhati mamii...aise safi sana...ila unaweza kurudia ujahidina bana au ulishaapa kabisa