wadau hizi tetesi niliwahi kuzisikia kwamba hawa watu huwa hawaajiri watu wa UDSM hasa wenye upper 2nd,...mwanzo nilikuwa sikuamini na nikaapply nafasi za loan officer ambazo deadline yake ilikuwa february mwishoni..cha ajabu sijaitwa mpaka leo, nimeuliza watu wengine kaama wanne ambao nao waliapply nafasi hizo hizo, nao hawajaitwa...nilipowadadisi zaidi nikagundua kwamba wana upper second!!! Na sasa wameshatangaza kazi mpya http://www.zoomtanzania.com/listingdetail?ListingID=18006
sikuishia hapo, nimemdadisi jamaa yangu ambaye ameajiriwa hapo na amepelekwa kahama juu ya ukweli wa jambo hili...kanijibu kwammba inawezekana maana watu wanakimbia kila siku.
ninachojiuliza
Je maslahi ya hawa jamaa yakoje? Kama siyo maslahi kinachowakimbiza watu ni nini?
kwamba ni vilaza kwa sababu your gf was working for them, au your gf was working for them ndio maana wao (finca) ni vilaza?
"Salima jamaa wa FINCA" ina maanisha nini kama siyo makosa yale yale!Mpendwa samahani kidogo. Hebu angalia kwenye common mistakes in english kama hiyo katika green imekaa sawa. Salima jamaa wa FINCA.
finca ndiyo nini?
kibubu
Inawezekana maana ata sisi hatuajiri wanafunzi wa UDSM,coz ni wazito balaa,,,watu wanapewa maswali multiple na match items,,,so upper second ya UDSM ni gentlement ya SUA/UCLAS/MZUMBE,,,pia moshi nimeskia kuna chuo kinakuja juu zamani kilikua kinaitwa ushirika mitihani YA WAHASIBU Vijana wamefanya vizuri. UDSM ndo chuo kikuu cha ukahaba na ubraza men(usharo) leo unataka niajiri shoga au kahaba si atawamaliza staffs kwa n goma?????? panuka mawazo

hii mitoto ya sikuhizi bana, yaani wewe umeona ukitaja udsm na upper second ndiyo watu wataogopa? sijui ni bangi ama petroli, jinga kabisa!
watu wanaajiriwa kwa vigezo, kama umekosa maana yake haujakidhi viwango
wewe nae unaajili watu!? What a shame!
"Salima jamaa wa FINCA" ina maanisha nini kama siyo makosa yale yale!
Inawezekana maana ata sisi hatuajiri wanafunzi wa UDSM,coz ni wazito balaa,,,watu wanapewa maswali multiple na match items,,,so upper second ya UDSM ni gentlement ya SUA/UCLAS/MZUMBE,,,pia moshi nimeskia kuna chuo kinakuja juu zamani kilikua kinaitwa ushirika mitihani YA WAHASIBU Vijana wamefanya vizuri. UDSM ndo chuo kikuu cha ukahaba na ubraza men(usharo) leo unataka niajiri shoga au kahaba si atawamaliza staffs kwa ngoma?????? panuka mawazo
mkuu nina ushahidithatz well said!
1. ushahidi gani ulionao? waa video au audio?mkuu nina ushahidi
asilimia 60 ya wafanyakazi wanaotoka udsm wanaendekeza ngono makazini
bosi wangu alishawahi kuwakataa sana nikamwambia sijui sasa hivi labda wamejirekebisha
wengi hasa wakikamata ubosi wanaendekeza ngono zembe na ukahaba kupata kazi haata ukikuta li sekretary limepitia kozi fupi udsm linasumbua watoto zetu kama bosi vile