Kwanini unasema magumashi?
kirefu chake nini?
Cha magumashi kwa sababu wanafanya "predatory lending". Wanatake advantgae ya umasikini wa watu wa chini na kuwafanya masikini zaidi.
Mtu anapewa mkopo wa sh. milioni moja kwa inteset ya 5% halafu anatakiwa kurudisha kwa mwezi mmoja. Hii maana yako huu mkopo interest yake ni asilimia 60 kwa mwaka! Haya ni magumashi, hakuna jina lingine.
FINCA wanachokifanya ni kutumia mabaunsa wao kwenda kupora mali za waliokopa. Wamesababisha ndoa nyingi sana zivunjike.
[h=3]Finnish funded Finnish NGO projects in Tanzania in 2013 (PDF,2 pages, 44kB)[/h]Mimi zamani nilikuwa nawafananisha na JAICA
shirika la misaada la Japan
kumbe duh..
Cha magumashi kwa sababu wanafanya "predatory lending". Wanatake advantgae ya umasikini wa watu wa chini na kuwafanya masikini zaidi.
Mtu anapewa mkopo wa sh. milioni moja kwa inteset ya 5% halafu anatakiwa kurudisha kwa mwezi mmoja. Hii maana yako huu mkopo interest yake ni asilimia 60 kwa mwaka! Haya ni magumashi, hakuna jina lingine.
FINCA wanachokifanya ni kutumia mabaunsa wao kwenda kupora mali za waliokopa. Wamesababisha ndoa nyingi sana zivunjike.
Mimi zamani nilikuwa nawafananisha na JAICA
shirika la misaada la Japan
kumbe duh..
Bila kumsahau Idd Simba na Pride yake.Easy finance ya kisanga si ndo wale wale.
wanafanya hivyo wakiwa na imani maskini huwa anauwezo wakutoa hela nyingi na pia ni ulinzi kwa vile masikini hawana dhamana inayoeleweka kama vile nyumba au shamba lililopimwa ndio maana wanaweka riba juu kama kinga yao sio magumashi..
FINCA ni kikampuni cha magumashi cha mikopo. Hakuna wafinland pale. Wafinland ni watu makini, hawawezi kujihusisha na magumashi kama ya FINCA.
Kaka Mkubwa unaongea UNACHOKIJUA au unaongea UNACHOKIHISI??
Finca inayo operate kwa nchi zaidi ya 20 na yenye assets zenye thamani ya zaidi ya $mill 300 unadiriki kuisema kuwa ni kampuni ya Kimagumashi??
seriously?
labda unishawishi kwa kweli
Kwani kuwa nchi hizo ndio haiwezi kuwa ya kimagumashi?
Watanzania wakishaona kitu cha kigeni tu wanaona ni genuine!!!
Nenda kajaribu kuomba mkopo usikie conditions zao, kwanza ukifika mlangoni tu unakutana na mabausna, ulizia wale mabaunsa kazi yao nini?
Wana branch yao pale victoria kwenye lile jengo la jamaa wa Gree Acres. Tembelea pale upate taarifa zao.
Umeshawahi kwenda KFC ya Bongo pale Mikocheni? Nenda pale halafu uone kama ile nayo ni KFC. Siku nimeenda pale nauliza kama kuna wireless internet jamaa ananijibu kuwa "hii ni fast food internet ya nini..."
Usiridhishwe tu na taarifa kuwa kampuni lina matawi sehemu nyingi duniani. Hizi chain kila sehemu inajitegemea wananunua jina na kujicommit kuwa wataheshime viwango fulani lakini sio lazima imaanishe kuwa mmiliki wa KFC Mikocheni ndio huyohuyo anamiliki KFC London. The same for FINCA.
ni kweli unayoyasema mkuu lakini hiyo inshu ya FRANCHISE huwa sidhani kama zinafanywa na FINANCIAL INSTUTIONS mara nyingi (NAKUBALI KUKOSOLEWA KWA HILI KAMA NITAKUWA NIMEKOSEA)
i mean like its difficult kwa mtu anaye franchise FINANCIAL INSTITUTIONS na kuwa na stores kama njugu kama ilivyofanywa na hawa FINCA nasikia wapo hadi Kagera huko (NASIKIA TU) so hawa ni wenyewe
mfano baclays
na basi kama wame franchize the guy ni mwenye hii SIO MWANANCHI WA KAWAIDA